Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa si bora uswazi kuliko slums zilizotapakaa kila Mahala hapo nairobi na miji mingine y’a kenya,

Btw, hivi mnawezaje kunya kwenye plastic bags nyie watu, unajua hii sio kitu cha kawaida
Bwahahah!!uswazi middle class[emoji1787][emoji1787]
Yani mji mzima ni uswazi tu
 
Huenda ikawa hao wachina unaowasifisifia ni educated hawajaelimika pande hzo..
Ukumbuke pia sio watu wote wasomi wameelimika
 
Utazitoa wapi sasa data kwa mamangina auu? Current data zinasema Tz ndio expoter wenu mkubwa kwa ss hata ukilia itabaki hivyo kwa miaka na miaka.
I wouldn't like to go that low with you but I just wanna say that the current trade volume between Kenya and Tanzania is still very low considering the two countries are very close and we're still developing. As Kenyans we still need alot of raw materials from Tanzania or uganda to help us run our industries as always it as been.
 
Hilo sio deni huo ni mradi wa mchina nanatauamiliki kwa miaka 30 so unafkiri baada ya miaka 30 uhai wa hio expressway utakuwepo je?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hilo sio deni huo ni mradi wa mchina nanatauamiliki kwa miaka 30 so unafkiri baada ya miaka 30 uhai wa hio expressway utakuwepo je?
Wait kwani siku hizi mnachagua specific infrastructure in Nairobi ndio mnacopare na yenuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„your so confused..if that the case then darslam should be more developed than SA because the bigger percentage of their infrastructure are own by either whites or Indians
 
Sio mm niliewapa huo mradi wa china usinililie mm sasaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› wewe jua huo mradi mchina ataushikilia mpaka mjukuu wako anatoka tumboni na mutalipa hapo mpaka mchina ahakikishe karudisha pesa yake mara nne yake
 
That means without Tanzania your manufacturing industry will collapse and your Economy may collapse too[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio mm niliewapa huo mradi wa china usinililie mm sasaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› wewe jua huo mradi mchina ataushikilia mpaka mjukuu wako anatoka tumboni na mutalipa hapo mpaka mchina ahakikishe karudisha pesa yake mara nne yake
and who complained if not youπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„,,,I mean kenyans are okay with the project,wewe ushawahi skia wakenya wakilia yakwamba mama samaia amepandisha tozo ya miamala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…