Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu wanamiliki maeneo huko Kenya kama saizi ya wilaya ya temeke hii kweli balaa., Kenya kumiliki ardhi ni kama ndoto

 
Vitambulisho vya wajasiriliamali

Vya Mwinyi (Vya Biometric)



VS


Vya Magufuli (vya Ultraviolet light 🙄)
Dude acha ushamba & upunguze u much know...ungenza linganisha nokia 1100 na iphone3 zilipokua zinatoka....Mwinyi just took the idea to the next level the same as how Stev Job took the idea of mobile phone to the next level...someone has to start somewhere, for others to perfect the idea...you just cant wait for the idea to be perfect to implement it...
 
kwa mtu aliyejipambanua kwa passport bora kabisa Africa sikutegemea! kwahiyo tunarudia kutengeneza vitambulisho vya wajasiriamali tena? Kwa gharama ya nani?
 
[emoji107]
 
kwa mtu aliyejipambanua kwa passport bora kabisa Africa sikutegemea! kwahiyo tunarudia kutengeneza vitambulisho vya wajasiriamali tena? Kwa gharama ya nani?
Ulitaka waache kutengeneza?unapouliza gharama za nani umeambiwa wanapewa bure or ht wakipewa bure kuna tatzo gani?mbona kitambulisho cha taifa mnapewa bure...

Nway ngoja nikupe madini kidogo upanue ubongo...kitambulisho kikiwa na QR code km alivyozindua Mwinyi inafungua endless possibilities...kwa mfano, behind the scene inaweza kuunganishwa na mifumo ya TRA na Mobile money Provider, ukifika kwa mamantilie unapata huduma ukimaliza una scan QR Code yake unamlipa, hela inaingia kwenye mobile money wallet yake, at the time TRA wanakata kodi yao just like when u pay kfc bt now tumeishusha kwa wafanyabiashara wadogo wadogo...this can help on cashless transactions move kwa wafanya biashara wadogo wadogo.
I Bet na ujuaji wako hili hukuliwaza...nway now you know..Chears.
Note: vitambulisho vya Mwinyi sio Biometric as you claimed, Nenda ka google uelewe nn maana ya Biometric then upunguze ujuaji.
 
Kwa wanaojua height ya majengo kwa vipimo wanaezakubalina na mimi kua majengo ya mzizima ni between 135 to 130m kwa office tower,huku la residential ni 110 to 105m kwa muonekano.

Nimefanya hii comparison nikitumia majengo ya GTC hotel tower ambayo ni 143m na 38 floors na pia yale mawili ya residential yaliyo na 110m na 32 floors...so kwenye huu utafiti nimegundua GTC hotel tower ni ndefu zaidi kwa ile ya mzizima na meters kadha
 

Attachments

  • IMG_20210926_061534_272.jpg
    144.9 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…