Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,756
sababu mpunga! Huo mkondo ulishachunguzwa na maamuzi kutolewa ujenzi uendelee!Hapo palikutwa mkondo wa maji ya chemchem ilibidi wataalam wafanye hydrological analysis ndio maana walisimama. Sasa sijui wameamua nini....
Mi naona kama single source procurement itafanyika ila kwa competitive bidding process nadhani kuna uwezekano wa kupata good deal! Kutokana na ulicho-post inakaa TRC wanataka kumpa Yapi Merkezi kimagumashi! Na tatizo lipo hapo kuwapa lot tatu Yapi Merkezi is too risky wakiwa wanaelekea mwaka wa tano kukamilisha lot 1 electrical SGR Dar-Moro!another one
View attachment 1950568
ebu mtu ajitolee kununua haya magazetu Mwananchi/The Citizen apige picha habari tusome yaliyoandikwa
Pesa hakuna jomba hali tete hadi team mafisadi wenyewe kwa wenyewe wameanza kugombana serikaliniIlivyokaa tu, ujenzi umesimama..!
Ngoja basi tumpotezee tatizo huyu shoga katumwa ndiyo maana nilitaka mniachie mm tumkuu tumekubaliana,achana na huyo jamaa anatuharibia uzi ukimquote ndiyo unampa bichwa mpotezee
maana huwa hana hoja zinazoendana na huu uzi kila siku hoja zake ni hizo hizo,anatuletea siasa
watu wanamchukia mama wako so wrong u can't be the master of all trades!kumbe ni huu mradi [emoji91]
kurasini industrial park, trade and logistics centre
View attachment 1950616
View attachment 1950617
Hahah ndo ubaya wa kuwa discrete ungeweza kudai malipo baba! Ila najua kamwe huwezi kujitokeza kutoa madai! ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐ ๐
NBO duh mnataka kukanyaga mpira anaopumulia mahututi! Mna roho mbaya sana nyie vijana wa Julius.kumekucha,tunaenda kuchinja
malipo ya moto! ๐คญ๐คญ๐๐hahaa wala hata sihitaji
Huo mvutano kuna mkono wa Mchina tuu hapo maana wao ni hodari wa mambo hayo.hehee nina ulinzi wa JF!
kuna mjadala huku watu wameuanzisha
Chonde chonde PPRA, waruhusuni TRC kuchagua mkandarasi wa kujenga reli kwa mfumo wa single source for a National interest
Nimeona kwenye magazeti juu ya mvutano wa PPRA na TRC kuhusu mfumo wa kuchagua mkandarasi wa kujenga reli. Nawaomba PPRA waangalie jambo hili kwa maslahi mapana ya taifa ili kuwawezesha TRC kupata mkandarasi atakaye weza kujenga reli at EUROPEAN standards. Mkiruhusu international competitive...www.jamiiforums.com
SUMA JKT wakabidhiwa eneo la Kurasini wajenge ukuta acre 54 Sijui sisi wabongo tunafeli wapi kila jengo au mradi tunaweka ukuta gharama ni kubwa na pili unaharibu hadhi ya jengo au mradi husika.kumbe ni huu mradi [emoji91]
kurasini industrial park, trade and logistics centre
View attachment 1950616
View attachment 1950617
Mkono wa Mchina hapo PPRA hamjashtuka tuu watu wanataka kupiga hela
while Kunyaland needs loans!Msikeni mlevi sasa๐๐๐๐๐
wacha upotoshaji wa kikenge! sheria lazma isimamiwe! Mchina ndo katunga procurement laws Tanzania? Huyu Masanja anapaswa kuondolewa pale TRC nadhani anafikiri project za TRC za babake! Yaani CEO mzima hana respect of procurement laws? Yale madudu ya kujiuzia nyumba za railways na nduguze na kupewa fidia mara kumi bado anaendeleza!Huo mvutano kuna mkono wa Mchina tuu hapo maana wao ni hodari wa mambo hayo.
Waandishi uchwara na mashabiki wao..JK alikuwa anatumiwa mara nyingi tuu kwenye shughuli za kimataifa na Mwendazake..
Mara kadhaa wamekutana Ikulu nk lakini JK hakuwahi acha kurusha vijembe kwa Mwendazake akiona anavuka Mipaka hadi Mwendazake akaanza kusema mara ooh Sijui wanawashwa washwa mara sijui mniachw nk..
Ni hivi JK ni Mwanausala muandamizi na siasa kaanza.toka enzi ya Mwalimu huwezi kumkwepa kwenye masuala ya utawala uwe unampenda au humpendi..
Good enough kwa sasa ndio Kiongozi mstaafu pekee aliyeko kutoa muongozo na ushauri pale inapobidi na Rais Samia lazima ata muapproach kuomba ushauri kwake,Mwinyi ni Mzee anapoteza kumbukumbu..
Hata usipomuomba Ushauri anakuacha kwani lazima? Kwanza ana ahughuli nyingi za kufanya Duniani Sio Kama wale wengine useless ukitoka madarakani habari Yako inakuwa imekomea hapo..
Ila wazeiya issue za kipolitics hili sio jukwaa lake wakuuJinga kabisa wewe dume zima unagawa ccm[emoji304][emoji304] [emoji849][emoji849] ccm nje nje[emoji1787][emoji1787]
Naipori slum mpaka leo vipanya vinaingia cbd!tz hakuna mji mwingine yoyote nje ya Dar, kwingine kote ni vichakani. Dar 7million population!. sasa ni wakati wa kuhamia mashinaniView attachment 1950516View attachment 1950517View attachment 1950519View attachment 1950521