Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kukopa raha ila kulipa matanga.. mchina kamatia hapohapo[emoji382][emoji382]..
afu mwakani wana uchaguzi [emoji38]
hawa jamaa wasipoachia bandari yao kwa wachina! sijui!
Kale kapicha chao cha kapumbu kikibinywa kikowapi kiwekwe hapo kwenye madeni ya kenya kwa mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…