Anga za Nairobi hatuziwezi kweli ,maana badala mjenge majengo yenye floor nyingi mnajenga antennas , by the way ivi Kenya majengo yenye floor 30 na zaidi yapo mangapi36floors only kweli mna mlima mrefu sana wa kukwea ndio mfikie anga za Nairobi
Area ni 0.41sqkmNiletee data ya 2017...na uniletee source zinazoeleweka ππππ
usitafute pa kutokea. kama una source yako basi ileteNiletee data ya 2017...na uniletee source zinazoeleweka ππππ
Kwa sasa yaliyokamilika yapo matatu 3Anga za Nairobi hatuziwezi kweli ,maana badala mjenge majengo yenye floor nyingi mnajenga antennas , by the way ivi Kenya majengo yenye floor 30 na zaidi yapo mangapi
spensa_e
Mawili tuπππAnga za Nairobi hatuziwezi kweli ,maana badala mjenge majengo yenye floor nyingi mnajenga antennas , by the way ivi Kenya majengo yenye floor 30 na zaidi yapo mangapi
spensa_e
Mm nimekwambia size ya kariakoo ni zaidi ya city of mombasa katafute data za 2017 na source zinazoelewekaππππArea ni 0.41sqkm
Tukubaliane hapo kwanza maana Area haiwezi change.
hii kirikuu inaweza ingia Mombasa mara mia sita hiii. ni ukweli au si ukweli?
Haha hakuna 50 floors hapo...haha tuma link inaonyesha kuna 50 floorsTulia wewe punzguza race ππππ
Dar safari hii inawapeleka mbio mbio
Utaziona tu
Hio project sio only 50fl Γ5 ...20 floors zitakua kibao 15 floors zakumwaga..have a look
View attachment 549313 View attachment 549314
Tuma link msee...tunadai link inaonyesha hao nimabillionareLDC kuna nn lakiniπππππ
26 billionares from different parts of the world visit Serengeti NP, Tanzania.
Jana tarehe 23.07.2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe aliwapokea Mbugani Serengeti Mabilionea 26 wakifuatana na wenzi wao (26) katika ziara yao ya siku 3 nchini Tanzania.
Mabilionea hao wa Club ya YPO (Young Presidents Organisation) wanatoka mabara yote duniani na wako katika ziara ya nchi 8, Uingereza, Rwanda, Tanzania, Maldeves, Nepal, Bhutan, Rajastan na nchi moja nyingine.
Katika hafla ya Chakula cha jioni alicho waandalia Wageni wake Prof. Maghembe aliwakaribisha Tanzania na Maajabu ya Dunia yaliyobebwa na hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Alisisitiza "hakuna eneo lolote katika uso wa Dunia lenye mkusanyiko wa wanyama wanaokula majani (herbivores) na wale wanaokula nyama (canivores) kama Serengeti.
Aidha, Prof. Maghembe aliwaeleza Wageni wake kuwa kuhifadhi ni gharama kubwa inayobebwa na Tamzania kwa niaba ya Dunia. Hivyo akawaomba wageni wawe Mabalozi wa kuitangaza Tanzania kama Destinatiom ya amani yenye vivutio vyenye ubora wa pekee. Hatua hiyo italeta watalii wengi nakuiongezea Tanzania mapato.
Aidha, aliwaomba warudi tena kuwekeza nchini ili washiriki kwenye uchumi unaokuwa kwa wastani wa 7% kwa kipindi cha miaka 15 sasa.View attachment 549391 View attachment 549392 View attachment 549393 View attachment 549394 View attachment 549395
Area ina increase pia??????Mm nimekwambia size ya kariakoo ni zaidi ya city of mombasa katafute data za 2017 na source zinazoelewekaππππ
Kariakoo ni mziki mwengine kabisaaa
Sema uoneshwe ππππI HAVE A QUESTION, ARE THERE BUILDINGS IN DAR WITH HELIPADS??????????? I HAVE NEVER SEEN ANY