Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mburula wanafarijiana 😆😃
 
Mimi nimetoka huko, tatizo ni watu wasio na staha kwa Samia ambao wanajipambanua JPM disciples na wamo humu kumtukana mama kama vile hawajazaliwa na mwanamke! mambo hayaendi hivyo nadhani uwaambie pia!
Na mimi nanyoka nao kama kawaida uzuri wananifahamu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…