Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Thank you.Unajua kwanza kua na maamuzi ya mradi kama huo uliopigwa vita na Dunia nzima ni jambo kubwa sana na kuuanza kwa kutumia pesa za ndani pia ni jambo la kihistoria wakat mwengine ifike hatua tukubali jamaa alikua na maamuzi magumu ndio maana unaona mama kazi yake ni kuendeleza ile miradi yote ya jamaa na sisi hatuna chuki na mama kabisa Hilo lieleweke pia
Yaheee mbona mange kimambi kamtukana sana magufuli ila mama mashungi anagonga naye 5 au kumtukana mzarendo ni sawa ila kumtukana fisadi na kibaraka wa wazungu ni haramuWewe ni WA kupuuzwa,ila watu dizaini yako mnaotumia uhuru wa kujieleza kwenye mitandao vibaya kwa kukashifu na kutukana viongozi mjiandae kisaikolojia.
Onyo limetolewa na PM,Waziri wa mambo ya ndani na WA Habari na teknolojia..
Sheria ya mitandao aliyoasisi mwendazake haijafutwa,ipo nakukumbusha tuu kama mlidhani mliitunga kwa ajili ya Chadema sasa hivi ndio utajua sheria ni msumeno,endelea kutukana Rais..
Magu ndio alitakiwa kumkamata sio Kazi ya mama hiyo,na wewe kama ni mange endelea kutukanaYaheee mbona mange kimambi kamtukana sana magufuli ila mama mashungi anagonga naye 5 au kumtukana mzarendo ni sawa jla kumtukana fisadi na kibaraka wa wazungu ni haramu
ni vitu vya kupotezea tu kila kiongozi ana mapungufu yake na mazuri yakeWakulungwa wamemshikia Bango mama!
naona wapo kimya,walishusha vitu kadhaa site kwaajili ya kusawazisha eneo na habari wakatuonyesha ,,na hapo hapo ndipo habari zikaishiaHivi habari ya ule uwanja mpya wa Dodoma imefikia wapi?
Hakuna chasiss ya bus iliyokaa juu hivyo peleka upuuzi kibera watakuelewa.According to your thoughts, but hyo ni company ya kenya wanaunda body zao hvo..
Chasis za bus na lorry zipo tofauti mzee kwhyo acaha kushtuka na body
Hivi Mwanza kuna uwanja wa golf?uwanja wa kisasa wa gofu (golf) dodoma by JWTZ
Hakuna tusi hapo huo ni ukweli mtupu ,[emoji1787][emoji1787]onyesha tusi tuoneMagu ndio alitakiwa kumkamata sio Kazi ya mama hiyo,na wewe kama ni mange endelea kutukana
Sio heshima kumwagia mwanamke maji mengi namna hii, hata sheria za kazi serikalini zimeelekeza. Hapo wangeachia maji kidoogo maana akilowana tu watamdhalilisha, By Geza Ulole
Chief unajisumbua kumjibu Geza, mwenzio kapandishwa cheo na mama sikuizi asubuhi tu anashtua na k-vant. Sio yule unaemfahamu, sikilizia pesa zikimzoea atarudi kwenye akili ya kawaidaWacha maneno ya kijinga ...unaweza niambia kwanin ujenzi wake ulikwama kipindi JK akiwa madarakani?
wewe mpuuzi wa wapi kuniwekea maneno? mwenzio xng hua anaugulia ban!Sio heshima kumwagia mwanamke maji mengi namna hii, hata sheria za kazi serikalini zimeelekeza. Hapo wangeachia maji kidoogo maana akilowana tu watamdhalilisha, By Geza Ulole
By Geza Ulole inamaanisha nn?Sijakuquote mkuu, heshima yako 🙌
Si ajabu Mange alikua analipwa na team ya mkwereYaheee mbona mange kimambi kamtukana sana magufuli ila mama mashungi anagonga naye 5 au kumtukana mzarendo ni sawa jla kumtukana fisadi na kibaraka wa wazungu ni haramu
Give me a minute kwanza,maana naona kuna inzi za choni zimeingia kwenye huu uzi ,kwani sisi tukimsifu magufuli tumefanya kosa gani hadi tutukanwe na kudaiwa tuna msakama mama [emoji849][emoji849] wakati mama anajichafua yeye mwenyewe kwa akili zake mbovu mfano kuweka tozo za uzarendo kwa masikini huku matajili wakipeta tu ,chanjo za kovidi kakurupuka mwenyewe ,kama nilivyo sema mama anajichafua mwenyewe kwa kuikataa akili na kupractise upuuzi yaani anachuja mbu na kumeza ngamiaHebu tafadhalini kama nikiwa mwenyekiti naomba mjadala wa siasa tuachane nao na turudi kwenye thread kama inavotutaka kufanya tafadhalini sana
Mzee wa k-vant hatakuelewa na yule dobi wa mama ndio kabisaa sikio la kufaWakuu ondoeni siasa humu asee.
Nchi yetu sote. Ya nini kuleteana uhasama. Tufocus na mambo ya Tz vs Kenya. Ukiona hujizuii fungua uzi jukwaa la siasa tema nyogo huko.
Hivi ulipata taarifa za tabata wanavyochakachua k-vant na kuweka gongo? Shauri yako 😀By Geza Ulole inamaanisha nn?