Uchumi wa Kati tuko tangu enzi za mkwere,probation period ndio ilianguka kwa Mwendazake wewe fala..Tumeingia uchumi wa kati chini ya magufuli bila ya tozo ushuzi wa bata za mama lako
Halafu acheni matusi aisee, watu mnaotukana na id mmeficha thats fear, mtu strong huwa hafanyi vitu vya kidhaifu km hv, jitahidini kuwa strong kwenye mioyo yenu, inapobidi kutukana uweke neno la hekima. Ni hivyo tu.Tatizo ni wewe kuliwa Tigo [emoji867][emoji867]
Ni mkopo kwa Zanzibar sio kodi zetu zilizokuwa zinatumiwa vibaya kule ChatoSamia Kitendo cha miezi mi3 tu alishachukulia Zanzibar billion 400 tayari, hivi hii Chato inayosulubiwa sidhani hata ina uwekezaji wa billion 200 toka Magufuli awe Rais
Ila hapa hutosikia Samia akilaumiwa kwamba yeye ni mkanda au anapendelea kwao
wacha upuuzi jengo la Zanzibar mwekezaji binafsi anajenga! Tanesco haipaswi kuwekezwa kwenye majengo bali miundombinu bora ya kusambaza umeme kuondoa kukatikakatika kwa umeme!Tanesco km wanaingiza 1 trilion basi hawapaswi kuwa na vijengo vya kizamani, hv kuna watu lazima miaka hiyo ka arusha kalivokuwa ka kijiji watakuwa walihoji mbona mnajenga majengo ya gharama hv? lkn leo majengo hayohayo yanafanya kaskazini imepata city, tatizo watu hamuwazi kisa ni eneo la nyumbani mnaona km anapendelea, mnafikiri hiyo SGR itakuwa inabeba nn km sio bidhaa km hizo na wateja? lazima kuwe na city maeneo hayo. Halafu sometimes kuna vitu vya kufosi ili eneo liendelee, niwaulize je, hilo jengo la floor 70 litakalo jengwa zbar, tuseme lisijengwe huko ila lije lijengwe dar maana kuna uhakika huku? Hapo tunatakiwa kutafuta plan alitaka kufanya nn cha maana? na km hamna? tu add plan zetu hapo lazima kitakuwa na positive idea, msiingize mawazo hasi kwa kila jambo eti alijenga kwao, kwani we umejenga wapi? mnabahati mi sio raisi nachukia sana kudeal na negative ideas kila mahali, ni ajabu sana kuona mtu unatafuta negative tuu, badala ya kuadd positive things on it because vipo tu kaeni mtafakari vipo, kuna vitu vinafanywa sio kwasababu eneo hilo linavihitaji no, ila ni kwasababu ya kuvivuta vingine, nikupe mfano, sehemu zote zilimo jengwa Sgr stations, kuna mahali jengo hilo la sgr ni gharama kubwa kuliko jumla ya watu kadhaa, ss hatukujenga eti kwa sababu sgr imepita, ila kwasababu ya kuvutiavmaendeleo ktk eneo hilo, Jengo la floor 70 zbar linajengwa sio kwasababu zbar inataka jengo hilo ila ni kwasababu likiwepo jengo hilo basi haya ya floor 50, 35 nk yatakuja tu, mmenielewa?
Usiingilie ugomvi usiokihusu,fanya yakoHalafu acheni matusi aisee, watu mnaotukana na id mmeficha thats fear, mtu strong huwa hafanyi vitu vya kidhaifu km hv, jitahidini kuwa strong kwenye mioyo yenu, inapobidi kutukana uweke neno la hekima. Ni hivyo tu.
Kwa nini awe mwingine usiwe wewe unaemshabikia na kujifanya una uchungu? Acha kuwa nyumbu wewe mjingaKufa kwa Magu ni mwili tu ila kilichokua ndani yake kitahamia kwa mwingine na atakua zaidi yake kama yeye mwenyewe alivyomkamilisha Nyerere kimatendo. Na ombeni anaekuja asiwe mjeda maana patachimbika
no yangu ndio haya kukuambia wewe, ukinitukana si na kaa kimya, pls elewa tu mbona ni ka uhalisia kenye ukweli pia?Usiingilie ugomvi usiokihusu,fanya yako
sawa bwana Geza Ulole [emoji2][emoji120]wacha upuuzi jengo la Zanzibar mwekezaji binafsi anajenga! Tanesco haipaswi kuwekezwa kwenye majengo bali miundombinu bora ya kusambaza umeme kuondoa kukatikakatika kwa umeme!
Kwa hiyo umeniona mimi tuu sio?Nunua tuu ugomvi kama unakulipano yangu ndio haya kukuambia wewe, ukinitukana si na kaa kimya, pls elewa tu mbona ni ka uhalisia kenye ukweli pia?
Superb!View attachment 1947153
View attachment 1947155
View attachment 1947157
View attachment 1947158
View attachment 1947159
View attachment 1947160
View attachment 1947162
View attachment 1947164
View attachment 1947165
View attachment 1947166
View attachment 1947168
View attachment 1947169
View attachment 1947170
View attachment 1947171
View attachment 1947172
View attachment 1947173
View attachment 1947174
View attachment 1947175
View attachment 1947176
View attachment 1947177
View attachment 1947178
View attachment 1947179
View attachment 1947180
View attachment 1947181
Kuzungumza hata Mwl Nyerere alizungumza, swali ni alitoa budget yake?Hio miradi yote ilikuwepo kwa taarifa yako na huo mradi wa maji Dodoma magufuli alishaizungumzia sana mradi wa zuzu Dodoma kama ulikua huna taarifa na feasibility study ulifanyika kwenye awamu yake yani miradi yote hii ni ya mzee mama anatekeleza tu hakuna jipya nikupe taarifa fupi ππππππππ
Unataka siasa alaf unapanic nn bananaπππ
Mafisadi yatakukuruka wee ila definition ya utanzania aliisimika mzee baba mwenyewe Nyerere, kila mnapoibuka anatokea mbabe wenu zaidi ya mliedili naeKwa nini awe mwingine usiwe wewe unaemshabikia na kujifanya una uchungu? Acha kuwa nyumbu wewe mjinga
ππππ Mtaweweseka Sana team Legacy, Kazi ya mafisadi ni hii hapa πMafisadi yatakukuruka wee ila definition ya utanzania aliisimika mzee baba mwenyewe Nyerere, kila mnapoibuka anatokea mbabe wenu zaidi ya mliedili nae
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.
Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.
Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku ππΏππΏππΏ
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.
Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.
Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku ππΏππΏππΏ
Wakuu pitieni na huku mkipata muda.
Kwenye hii Battle tunaji-mwambafy kila siku (of course on ground tuna-deserve hapa EA). Lakini changamoto hazikosekani katika kila taifa, ni lazima tukumbanenazo ili kutoboa.
Sasa ushauri, mapendekezo , kukosoa kwa nia njema na hata kulaani vitendo vibaya katika taifa mchango wako unahitajika huku ππΏππΏππΏ
Link hii hapa..., itapendeza kama changamoto na mapungufu tutakua tuna-address huku.imekaa poa mkuu,tupia link
Aache kuweka mikono mabegani kwa wanawake ni sexual harassment tena kipindi cha corona! Si adabu kama kiongozi! Ni kituko! Protocols lazma zizingatiwe! Mabalozi ni wawakilishi wa marais au ma-waziri wakuu wao au mkuu wa serikali wakuu wao! Etiquette and rapport ni vigezo na masharti ya kuzingatiwa!ππππ Mtaweweseka Sana, Kazi ya mafisadi ni hii hapa π
View attachment 1947204
View attachment 1947205
View attachment 1947206
View attachment 1947207
View attachment 1947208
View attachment 1947209
Kuzungumza hata Mwl Nyerere alizungumza, swali ni alitoa budget yake?