Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Simon, Naton Jr... Stima zimelost nimeona tayari kabla haijafutwa! Poleni, mnatia huruma aisee! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Msingelifuta hiyo post ya sahi 11:00pm kudadadeki!
 
kenya ni moja ya nchi iliyopewa msaada wa covid vaccines na UK.. lkn serikali ya UK imesema nchi zote za Africa raia wake wakitaka kwenda UK watakuwa considered as unvaccinated.. think twice!
hii ni noma chief
 
Sasa abari hii kwa ile team vaccination ...watakwambia niuongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]manake wakenya wamepewa uchafu cyo vaccine
 
Hivi mama kaenda na dreamliner? Sijaona picha akiwa anaondoka kama kawaida yake.
 
Swala cyo rangi wala rules, nikwanin walio chanjwa nje ya UK wawe treated km unvaccinated? Especially those countries which reveive vaccine from them eg KUNYA LAND
 
Na ndo nikasema wale ni wazungu... If you know, you know!
 
kenya ni moja ya nchi iliyopewa msaada wa covid vaccines na UK.. lkn serikali ya UK imesema nchi zote za Africa raia wake wakitaka kwenda UK watakuwa considered as unvaccinated.. think twice!
Hizi nchi mbona zisi-retaliate kwa hawa stupid tories? Waki-impose the same ban kwa UK, wata-lift the ban!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…