Hivi si magu kasema km kero ya maji na umeme ameshamaliza, hivi imekuaje tenaJitu la hovyo limeshasahaulika ,tulipigwa na kupata hasara past 5 years..
Saizi tunatembea na Takwimu [emoji116]
View attachment 1942271
View attachment 1942272
View attachment 1942273
stop embarrassing yourselfwameweka kipisi halafu ukitokomea mbele kidogo unakutana na one lane[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
maaad tings brother..10years the economic acceleration will be on steroids' due to the investment in infrastructure ,over Kshs.1 trillion in this administration alone.Cherry picked section isn't a representative of the whole..,
How about these 👇 👇 just a few,
Eastlands
View attachment 1941993
Nakuru
View attachment 1941996
Kisumu
View attachment 1941994
kikubwa ni kutazama nakuona je watalisimamia hili daima lisijirudie kwani wamachinga wapo miaka nenda rudi huwa wanaondolewa na baada ya kipindi unaona wamerudi tena,Upumbavu wote huu ulilelewa na yule dhalimu ,hatuwezi kuwa nchi ya hovyo hovyo
sijui nifundishe ticha Lulu ojwaniTena unajua maana ya interchange au ni wivu tu ndio unakusumbua[emoji1787][emoji1787]
hali ngumu ila pia watu wameamka kujitafutia pasipo kutegemea ajira za kuajiriwaHali ngumu ndio manake kila mtu anakimbilia umachinga..[emoji1787][emoji1787]
Nchi ya ahadiView attachment 1942328
Wakenya ngj niwaambie kitu..maaad tings brother..10years the economic acceleration will be on steroids' due to the investment in infrastructure ,over Kshs.1 trillion in this administration alone.
Wanapangwa vizuri kwa kuondolewa maeneo yasiyo rasmi ,ukisema wanaondolewa is like wanafukuzwakikubwa ni kutazama nakuona je watalisimamia hili daima lisijirudie kwani wamachinga wapo miaka nenda rudi huwa wanaondolewa na baada ya kipindi unaona wamerudi tena,
japo huyo dhalimu unayemzungumzia sijajua ni yupi ila huyo dhalimu bila shaka hakuzaliwa na tanzania kwa kuongoza nchi peke yake miaka yote bila shaka wapo waliomtangulia na hali ilikuwa hivi hivi
Maduka wamefunga wakawa wamachinga sasa hapo utanieleza tatizo ni ninihali ngumu ila pia watu wameamka kujitafutia pasipo kutegemea ajira za kuajiriwa
Issue ni kwamba co kuwafukuza mana nao wanafanya biashara, kinachotakiwa ni kuwapangia maeneo mfano tunaweza kupanga maeneo kama Kariakoo mchikichini tukapajenga vzr pakawa kwa ajili ya machinga wa nguo za sagura sagura alafu pale machinga complex pakawa kwa ajili ya machinga wa electronics, alafu Chanika pakawa kwa ajili ya chakula, lkn co kuwaacha waamue wanavyotaka ni upumbavu.Wanapangwa vizuri kwa kuondolewa maeneo yasiyo rasmi ,ukisema wanaondolewa is like wanafukuzwa
Umachinga umekuwa ni sehemu ya kukwepea kulipa kodi.Ila kkoo madukani pawe kwa ajili ya maduka rasmi na residential only, mbn simple tu.
Ndiyo iko hivyo mkuu.Umachinga umekuwa ni sehemu ya kukwepea kulipa kodi.
Mtu anatafuta vijana then anawatafutia vitambulisho halafu anakuwa anatoa bidhaa dukani anawapa vijana wake (machinga) wakauze.