Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So Kenya nzima bus ni Ena tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huku kampuni za mabasi ni kibao hauwezi maliza, kuna;- Periska, Buscar, Busclass, Tahmeed, Simba coach, Modern Coast, Ena, Guardian, Mashaalah, Eazycoach, Mash Poa, Oxygen, Dreamliner, Transliner. nipe muda tu kiasi, hii list ni ndefu sitamaliza
 
Wakuu [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwenye ile clip ya mabasi yanayotoka ubungo aweke tafadhali alafu tuachane na hii battle ya kipuuzi mana ni aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu anapinga kila kitu mpaka facts🤣🤣🤣🤣
 
huku kampuni za mabasi ni kibao hauwezi maliza, kuna;- Periska, Buscar, Busclass, Tahmeed, Modern Coast, Ena, Guardian, Mashaalah, Eazycoach, Mash Poa, Oxygen, Dreamliner, Transliner. nipe muda tu kiasi, hii list ni ndefu sitamaliza
Acha nikusaidie mbukinya,bongo pathfinder, western express,chania,orange,nyamira,kisii classic 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇
 
Ongezea na johamvia,kimotco, George town,frester,nyehunge,jmc,etc etc
 
Aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
yes! ishu ni kwa gharama gan? kama ni ndogo aingie nayo hiohio ndogo kwenye competitive tendering.. unajua lot 5 Yapi aliweka bid ya $2.5b na wachina wakaweka $1.3b
Price sio determinant ya mtu ku win tender but tunaangalia what is quoted against quality, specifications and expertise. Maana kama price ingeamua nani apate tender hata mimi na kampuni yangu tunge tender usd 1b inamaana ningepata hiyo tender wakati sina expertise wala ability yoyote ya ku execute huo mradi. One of the grey areas ya competitive bidding unaweza ukaacha qualified contractors ukaenda na shoddy contractors mwisho wa siku mradi unakuwa messed up.
 

Hapa sijawaona KISBO aka FARASI
 
Wewe matako ya ccm amini sensa aina faida kwa watz ni wazungu ndiyo wanamanufaa nayo machafu kufanikisha fitina zao africa huo ndiyo ukweli
 
Mimi nina akili hadi najiogopa ndiyo maana hapa JF najifanya boya kwa sababu JF pia kuna vichwa panzi wengi
 
Kwa upande wa buses za kusini nimeziona hapo kampuni tatu kama sijakosea....

Sijaziona kampuni zaidi ya 15 kutokea kusini mwa Tanzania

Seriously Wakenya wanataka kushindana na Tanzania kuhusu Usafiri wa Barabarani!!? Asee wanaumwa vichaa wallah

We linchi kama Tanzania lenye makilometa ya mraba na barabara zenye makilometa ya kutosha ndo ufananishe na Kenya?

Hawajiulizi kwanini tuna advance sana kwenye bus stations!! Why tunajenga vituo vya mabasi vyenye hadhi ya Airports!!? hii yote kwasababu biashara ya usafiri wa barabara Tanzania inalipa na kuna wateja wengi mnooo....

Yaan Kenya you can count zile common routes
NBO - MSA - NBO
NBO - KSM - NBO
na kupitia katikati hapo kwenda Ushagoni na zile fuso zao zenye carry juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…