Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi Sana 👏👏
 
Yapi Merkez imepata deal ‘MOU’ zimbabwe
Haya ndiyo niliyokuwa nayasema jana, "Yapi ndo wamefika Afrika", hawawezi kuharibu kwenye ujenzi wa SGR yetu, SADC wanafuatilia na Afrika inaangalia. Hawa mkakati wao ni kulikamata soko la Afrika, kwa kushindana na wachina ambao teyari wameshaweka mizizi.

Kama utakumbuka mbabe Erdoğan alikuja Tanzania, Yapi iliposhinda zabuni ya kujenga SGR. Hawa jamaa wametambua kile wachina walichokiona, kuwa Afrika ya sasa imeamka na kuna pesa ndefu, ila kuipata pesa hiyo inabidi kuwe na win win situation kwa pande zote mbili. Haya ni mambo ya kumnenepesha ng'ombe ili upate maziwa mengi.
 
Very local, ni wewe nn huyu
 
Thanks Teargas, i was to hit these Fools hard on this topic, but atleast u've arrested this case on mybehalf, thanx 👊👊
Kama una ubavu jaribu kuleta kitu kama hiki kutoka Kunyaland

Mabasi sio vipanya
98% ya usafiri wenu wa mikoani ni vipanya
1.2% mabasi (makarai)


HII NDIYO ORODHA YA KAMPUNI ZA MABASI AMBAYO YANAFANYASHUGHULI YA KUTOA HUDUMA ZA USAFIRI SEHEMU MBALIMBALI NDANI NA NJE YA TANZANIA​


  1. -Dar Express
  2. -Kilimanjaro Express
  3. -Hood Limited
  4. -Abood bus
  5. -Metro Express
  6. -Sumry High Class
  7. -Akamba
  8. -Kampala coach
  9. -Shabiby Line
  10. -Princes Muro
  11. -Ngorika
  12. -Buffalo coach
  13. -Saibaba Express
  14. -Fresh coach
  15. -Spider
  16. -Simba coach
  17. -Mombasa raha
  18. -Happy Nation
  19. -Mohamed Trans
  20. -Ibra Line
  21. -Simba mtoto
  22. -Mbeya Express
  23. -Taqwa
  24. -Upendo coach
  25. -Super Feo
  26. -Robin top line
  27. -New Force
  28. -Moro best
  29. -Champion
  30. -Al saedy
  31. -Allys sports
  32. -King cross
  33. -Mwafrika
  34. -Abs coach
  35. -Tawakal
  36. -Raqib
  37. -Moud raha
  38. -Mabrouck
  39. -Fasaha
  40. -Arusha Express
  41. -Urio trans
  42. -Ngwalu express
  43. -Chaula trans
  44. -Islam
  45. -Skyline Express
  46. -Chakito long way bus
  47. -Arusha express
  48. -Best line
  49. -Super sonic exp
  50. -Leina tours
  51. -Ilasi express
  52. -Shabco
  53. -Nganga express
  54. -Jordan express
  55. -Batco coach
  56. -Zuberi
  57. -Super najimunisa
  58. -Sharon
  59. -Dear babu
  60. -Mohamed invenstments
  61. -Masama investments
  62. -Rafiki trans
  63. -Shambalai
  64. -Ng'itu
  65. -Shobnaz
  66. -Safari coach
  67. -Mbazi travel
  68. -Kvc safari
  69. -Pole pole
  70. -Perfect trans
  71. -Lucky star
  72. -Bunda express
  73. -Tonda express
  74. -Deluxe
  75. -R.s investments
  76. -Kimambo
  77. -Seth express
  78. -Tayassar
  79. -Zakaria express
  80. -Green star
  81. -Hajee's
  82. -Grazia
  83. -Ally's sports
  84. -Luwinzo
  85. -Osaka
  86. -Harambee coach
  87. -Shabaha promise
  88. -Fasaha
  89. -Budget
  90. -Satellite coach
  91. -A.M coach
  92. -Air born city
  93. -Air bus
  94. -Tashriff
  95. -Raha leo
  96. -Freys coach
  97. -Coast line
  98. -NBS coach
  99. -Mghamba trans
  100. -Dolphin
  101. -Lakrome
  102. -Bembea
  103. -Meridian coach
  104. -Tahmeed
  105. -Perfect trans
NB kuna zaidi ya companies 50 hazipo kwenye list, ukibisha baki na list then nitazimention zisikuepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…