Wewe nawewe ndiyo majizi mmerudi kazini, tena mmerudi kwa kasi kuwanyonya wananchi kwa speed ukubwa sana lakini nyinyi dawa yenu ni moja jino kwa Jino, na msituone watanzania wajinga sana,soon dawa yenu itawaingiaKwani kuwa against previous regime ndio lazima awe against this regime? Regime iliyopita ilikuwa hovyo na haishirikishi,inaenda kwa matamko ,mihemko na vitisho sasa uongozi gani huo.
Na wewe Rudi kazini uibe,uitafune..inachemka ππNyinyi ndio majizi mmerudi kazini ,muitafune nchi kama mchwa, na msidhani kama sisi wananchi ni wajinga sana, lakini dawa yenu inachemka soon
πππππ Punguani hili..Wewe nawewe ndiyo majizi mmerudi kazini, tena mmerudi kwa kasi kuwanyonya wananchi kwa speed ukubwa sana lakini nyinyi dawa yenu ni moja jino kwa Jino, na msituone watanzania wajinga sana,soon dawa yenu itawaingia
Haya majizi si ya kuchekea ,wanawaona watanzania ni wajinga sana wehu sana, lakin hatuwez kuwa wazalendo kwa namna hii never, nchi ya tozonization na undugunization,yamekaa kujadili namna gani ya kumpora raia wa kawaidaNa wewe Rudi kazini uibe,uitafune..inachemka ππ
Wewe nalo ni lilizezeta tu la Uvccm, tukiwa na majitu kama nyinyi nchi itageuzwa kama gereji ya magari mabovu, huu ni uzwazwa wa Phdπππππ Punguani hili..
Dodoma inaenda kuwa na uwanja bora kuliko nairobi na bado ndio tunaanzaa
Kibera awajamboNi za youtong basi
ππππ tutapruni woteWewe nalo ni lilizezeta tu la Uvccm, tukiwa na majitu kama nyinyi nchi itageuzwa kama gereji ya magari mabovu, huu ni uzwazwa wa Phd
Hamtaweza tutawatoa tu,2025 sio mbali time will tell youππππ tutapruni wote
Mlipokuwa mnateuana watoto wa shangazi na wajomba huku mkiibia nchi mlidhani mtadumu Milele?Haya majizi si ya kuchekea ,wanawaona watanzania ni wajinga sana wehu sana, lakin hatuwez kuwa wazalendo kwa namna hii never, nchi ya tozonization na undugunization,yamekaa kujadili namna gani ya kumpora raia wa kawaida
ππππππ π π π ππππ Ugulia tuu hiyo ngoma ni 2030 ..Hamtaweza tutawatoa tu,2025 sio mbali time will tell you
Wewe ndio hayo majizi mnaopola Mali za wananchi, soko la mazao yao hamuwatafuti, kazi yenu ni kupola fedha za wananchi wanyonge, ila jueni mwisho wenu ni mbaya ,mtakosa mahali pa kuikimbia nchi hiiMlipokuwa mnateuana watoto wa shangazi na wajomba huku mkiibia nchi mlidhani mtadumu Milele?
Lipa tozo nchi isonge mbele sio kubwabwaja upumbavu kama wanaku ππ
Sasa hivi tunawapiga doleππ tuu timu legacy ππ..Wewe ndio hayo majizi mnaopola Mali za wananchi, soko la mazao yao hamuwatafuti, kazi yenu ni kupola fedha za wananchi wanyonge, ila jueni mwisho wenu ni mbaya ,mtakosa mahali pa kuikimbia nchi hii
Tutaona , kama mtakua madarakani, hatutachoka kudai katibaππππππ π π π ππππ Ugulia tuu hiyo ngoma ni 2030 ..
Sasa hivi tunawapiga doleππ tuu timu legacy ππ.
Ila haina tabu muda utaamua, lakin weka akiba ya manenoSasa hivi tunawapiga doleππ tuu timu legacy ππ..
na ile ring road itakuwa ya barabara nne urefu wa km 112.. dodoma ghafla tu at once inakuwa na barabara yenye four lanes roads nyingi (length in total) kama Dar
kimekuwa kipaji sasa huko kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngurue ni ngurue ata ukijaribu kupaka rangi na kugeuza angle, haubadilishi ukweli na uhalisia., π π π π π njia za vumbi na low life residentials..,CBD yao inachapwa na Victoria [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1937115View attachment 1937117
Al Saedy