Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,138
- 107,696
Tungekuwa na upinzani wenye kujitambua basi hiki ndio kingekuwa kipindi chao cha kuchukua nchi, lkn hata hivyo shida inaanzia kwenye katiba, hili katiba letu bovu linaruhusu Watz kuongozwa hata na mbwa as long as amekubalika na chama.A coincidence?
MY TAKE
Kwa jinsi huyu Bwana Abdulsamad alivyo karibu na Samia Suluhu Hassan (hana cheo serikalini ila kila mahala yupo hata juzi anaonekana huko Royal Tour) ikumbukwe Wizara ya Nishati ili-denounce hii taasisi ya ATOGS katika kujipambanua na kazi za EACOP na pia hata Dr. Matarajio alitolewa na kurudishwa. Haya mabadiliko ya baraza hili, naona kama yanajengwa mazingira ya huyu jamaa kupewa tender za EACOP na LNG kupitia Makamba! Time will tell though, mafuta ya Zanzibar tuliambiwa hata kama hayajai kikombe cha kawaha si ya Muungano ila miradi ya Bara naona kizungumkuti kinajengwa kuja kunufaisha jamaa wa visiwani sio! In short sioni goodwill kwenye hili!
Hapo ndo unashindwa kujielewa yaani kuminywa kote kwa upinzani huoni?Tungekuwa na upinzani wenye kujitambua basi hiki ndio kingekuwa kipindi chao cha kuchukua nchi, lkn hata hivyo shida inaanzia kwenye katiba, hili katiba letu bovu linaruhusu Watz kuongozwa hata na mbwa as long as amekubalika na chama.
Licha ya kuminywa lkn iko wazi kabisa upinzani wa nchi hii haujitambui kabisa, mara ngp tunaona scenarios za kimalaya za upinzani? Upinzani unashindwa nn kuvunja vyama vyao na kuunda chama kimoja kitakachopambana na CCM kama kweli wapo serious? Unadhani Chadema au ACT au CAFU inaweza kuitoa madarakani CCM? Hakuna upinzani Tz kuna wachumia tumbo tu.Hapo ndo unashindwa kujielewa yaani kuminywa kote kwa upinzani huoni?
A coincidence?
MY TAKE
Kwa jinsi huyu Bwana Abdulsamad alivyo karibu na Samia Suluhu Hassan (hana cheo serikalini ila kila mahala yupo hata juzi anaonekana huko Royal Tour) ikumbukwe Wizara ya Nishati ili-denounce hii taasisi ya ATOGS katika kujipambanua na kazi za EACOP na pia hata Dr. Matarajio alitolewa na kurudishwa. Haya mabadiliko ya baraza hili, naona kama yanajengwa mazingira ya huyu jamaa kupewa tender za EACOP na LNG kupitia Makamba! Time will tell though, mafuta ya Zanzibar tuliambiwa hata kama hayajai kikombe cha kawaha si ya Muungano ila miradi ya Bara naona kizungumkuti kinajengwa kuja kunufaisha jamaa wa visiwani sio! In short sioni goodwill kwenye hili!
Ukisikia maana ya malodi lofa basi ni wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu mwamba na begi lake utadhani anaenda Airport, ila Wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1935111
Kwani umesahau wakenya ni inzi wa chooniMizigo kama mabegi yanakaa wapi safari ndefu hivyo? Wengine wanasafiri na watoto wadogo, mama anakaaje na mwanae hapo? Changing diapers, feeding etc kwenye huo mbanano? Mnapumulianaje kwanza masaaa zaidi ya matano humo ndani?
Wenyewe wanaita pafyumu ya kibera wakenya ni manzi gari zao za abiria zinanuka kinyesipia, ushuzi wa mtu ukitoka kule seat ya nyuma kbsa hata dereva atausikia[emoji23]
Hapo kwa makamba ni kosa kubwa sana huyu dogo ni mpuuzi hadi ukoo wake wote wapo hivyo,makamba ni kama kikwete akili zao sawaMBARAWA [emoji736] mfuatiliaji na anatoa updates sana
Wengine sina maneno
Yule wa afya kabaki?[emoji47]
Nape alifaa aletwe kwenye michezo
Look like cartel ya mkwele inakuja .. ya tocha inaondolewa [emoji102]
Takataka makamba siyo wakupewa uwaziri hata ubunge hafaiYanarudi yale yaleeee, humu hamna kitu.
Tatizo linaanzia kwa mkuu wa majeshi huyu ni mmoja wapo wa MAHAINI , niliwaambia wapinzani tanzania wanao chekelea kifo cha magufuli ,wasichekelee bila ya kujua kilitokana na napenzi ya mungu au kulikuwa na mikono ya watu maana ili swali linabena hatima yao kwa kile wanacho kitazamia kukipata baada ya kufa magufuli ,maana kama kifo siyo cha mapenzi ya mungu wajue wausika hawawezi kuachia nguvu yoyote itakayo hatarisha hatima yao na swala la katiba litakuwa ndoto ya mchanaHii nchi yetu kwa sasa inaonekana dhahiri haiko salama, TISS inabd ifanye jambo kwa maslahi mapana ya nchi, inaonekana dhahiri shairi kuna kikundi cha watu ndio kinafanya maamuzi zen president anapitisha tu.
Nchi za nje hawatambui Tz, KE ndio wanajua... 😂 😂 😂 Hujatembea ngese wewe! 🤣 🤣 🤣Kote duniani ukiweka picha kama hii bila maelezo ina symbolize Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mama ni msaliti ni zaidi ya wachawi milioni 1, watz tunatakiwa tushikilie sana hii kitu inaitwa magufuli legacy ambayo ni uzarendo wa kweli, kwa kuwa ndiyo siraha pekee tuliyo bakinayo ya kuaminika dhidi ya mafisadi legacy + wanafiki" vigeugeu"legacyNasubiri usajili wa Membe akapewe kitengo 2025.
Ni system za booking ziko chini sio mitambo... Rudi shule, hukusoma! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unadhani ni kama zile zenyu za Mwendokasi zilipokufa hazikufufuliwa tena, ni mwendo wa analog huko? 😂 😂 😂
Hundreds stranded as Kenya Railways announces system failure on SGR
By Nyaboga Kiage
On Sun, 12 Sep, 2021 18:10 | < 1 min read
Kenya Railways has warned against the vandalism of its assets. PHOTO | COURTESY
Hundreds of passengers on Sunday, September 12 were stranded after the Standard Gauge Railway (SGR) system failed affecting online booking.
In a statement, the Kenya Railways Corporation (KRC) announced that SGR online booking system had failed and those willing to travel should book tickets over the counter.
This means that all those who had plans of travelling today but needed to book tickets will not make it through its digital platform or through the Unstructured Supplementary Service Data (USSD) payment method.
“Anyone willing to book a ticket should do so over the counter at the nearest Madaraka Express Service Station. Efforts to restore normalcy are ongoing. We sincerely regret the inconvenience caused and will advise once normal services are restored,” the statement read in part.
The statement was released amidst protests by a number of travellers who took to their online platforms telling off Kenya Railways over the failure to secure the tickets so as they can travel over the weekend.
It has also emerged that the company could not be reached through its customer care hotline as their calls went unanswered.
This is not the first time such an incident has taken place. On August 5, travellers were unable to book tickets after Kenya Railways experienced yet another system failure.
Similar to today’s incident, those travelling were asked to book tickets physically by visiting their offices.
Building the SGR cost taxpayers ksh360 billion and it was aimed at providing services to civilians at a quick pace compared to road transport.
Many people prefer using SGR as it is considerably cheap and timely.
K24 Digital – Your News, Anytime, Anywhere
Top News Celeb Watch 411 411 Heartbeat 411 Just In 411 Play Heartbeat Play 411 Play 411 Playwww.k24tv.co.ke
MY TAKE
Chang'aa boiler inatokota...
Huyo siyo tatizo sana tatizo chafu ni Ukoo wa makamba huyu ni sawasawa na ukoo wa kikwete hizi koo mbili ni laana kwa taifa letu chukizo la uharibifuSeriously [emoji15]
Huyo anafaa ila usipende kusema mtu anafaa kwa sababu ya cv tu ,anafaa sana! Angalia CV yake!
Wewe sindiyo unamsifia mama !! Ungejua jinsi huyu mama alivyo na chuki na bara usinge pata usingizi maana ni bora ya chuki ya Osama kwa marekani kuliko ya huyu mama ,mimi namjua toka kitambo yaliyo kuwa moyoni mwake ila alijikuta yupo bara bungeni mara makamu wa raisi mara raisi hivyo ni kama ajari kuwa raisi wa JMT wakati anachukia hicho kituA coincidence?
MY TAKE
Kwa jinsi huyu Bwana Abdulsamad alivyo karibu na Samia Suluhu Hassan (hana cheo serikalini ila kila mahala yupo hata juzi anaonekana huko Royal Tour) ikumbukwe Wizara ya Nishati ili-denounce hii taasisi ya ATOGS katika kujipambanua na kazi za EACOP na pia hata Dr. Matarajio alitolewa na kurudishwa. Haya mabadiliko ya baraza hili, naona kama yanajengwa mazingira ya huyu jamaa kupewa tender za EACOP na LNG kupitia Makamba! Time will tell though, mafuta ya Zanzibar tuliambiwa hata kama hayajai kikombe cha kawaha si ya Muungano ila miradi ya Bara naona kizungumkuti kinajengwa kuja kunufaisha jamaa wa visiwani sio! In short sioni goodwill kwenye hili!
Wapinzani siyo kwamba wameminya tu bali wamejimaliza wenyewe kwa kupinga uzarendo wa magufuli huo ndiyo ukweli hadi majuzi mbowe ndiyo anajidai kumsifu magufuli kuwa alikuwa jiniasiHapo ndo unashindwa kujielewa yaani kuminywa kote kwa upinzani huoni?
Takataka makamba siyo wakupewa uwaziri hata ubunge hafai