Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ruto hana utajiri wowote wa maana wanampaisha tu

Ni masikini wa kawaida anaetafuna tu pesa za serikali lakini hana tangible investment zaidi ya Viraka vya mashamba Jangwani 😅😅😅



Hata mabilionea wao utajiri mkubwa walionao ni kumiliki hekari za majangwa lakini on the ground hawana mbele wala nyuma 😂😂😂😂
 
Ni Kunyaland tu mtu anakua na utajiri wa dollars billion 1 kwa kuwa alikua ananyanduliwa na Rais na alikua ni jangili wa pembe za ndovu 😂😂😂😂😂

Just only that mtu anamiliki dollars billion 1?

 
Manu chandaria ni gikuyu? 😂😂😂

Muwashukuru wahindi sana kama sio hao mngeshakufa na njaa wote since 90% ya posho Mills zinamilikiwa na wahindi na 70% real-estates ni wao na waarabu 😅😅😅

Yaani mnakula kwa wahindi na mnalala kwa muhindi 😂😂😂
 
page ya tourism bongo ni TTB.. nyingine hazitambuliki
Sasa mkuu, wewe zuzu kweli, hiyo story imetokana na tweets za wabongo kwenye tweeter page ya tourism ya Bongo. Duh, wewe mwalimu wako alipata shida aisee! 🤣 🤣 🤣
 
Makampuni yanayomilikiwa na serikali kwa asilimia kubwa huwa ni upande wa serikali ndio unachagua viongozi wa hayo mashirika kama hivi

View attachment 1931340

Leta ushahidi kunyata akiteua hata freelancer wa sifuricom

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sifuricom
 
Mafii ya kuku, mm siwezi kuwa na baba kama yule mpumbaavu takataka,
Naye hawezi zaa litoto senge kama wewe,Yule ni bora kuliko baba yako mpumbavu,ndio maana yeye ni Rais mtaafu na baba yako labda kastaafu kuchungulia matako ya mama yako baada ya kuzeeka.
 
Mahindi ya Tanzania wasiyatafute Wajinga kabisa
Wasiyatafute? Una akili timamu? Huwa unatusaidia pembejeo za kulima?

Mijitu kama nyie ndio mlikuwa mnalishauri hovyo lile limarehemu afu linakuja kujitutumua kwenye Mazao yetu afu tunakula hasara.

Bora hata Mungu katuepushia balaa,kwa taarifa yako mama upumbavu wenu huo na mahindi tunauza,kwetu huo ukame ni fursa.
 
Don't blame please. When it comes to wealth concentration Tanzania is behind rwanda, number one in East Africa is

Kenya $12,000
Rwanda $4,000
Tanzania $ 3,000

View attachment 1931185

View attachment 1931186
When it's to njaa who is leading? Huwezi kua tajiri while you don't have sufficient basic needs . Yaani food , shelter hamna halafu muwe matajiri . Ebu kale milaa boss mihela upumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…