Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wasije wakasema ni ya zamani.. it’s September 8,2021 to remember!
View attachment 1930287

Karne ya 21 njaa ni janga la taifa

Wazungu wamekamata mashamba yote yenye rutuba wanajilimia chai na maua tu, wakunya wamefukuziwa Jangwani wapambane na hali zao πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Juzi nilifanikiwa kupita hii mitaa nikapata upepo wa bahari kidogo, yo bandugu hii mitaa ni mizuri mno, barabara zinawaka waka
πŸ‘‡New Tanzanite bridge, it's almost done βœ… nilikuta wanatengeneza side walks, soon tutawaumiza vichwa hawa mbwa.. nyie hapa mahali ni panawaka waka sio kawaida, barabara zinawaka mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…