Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,207
- 35,589
Pole sana kiongozidah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Mbn hamuiti 3level, Kenya wababaishaji sn
You angry my nigga 😁 don't beSijui mnatoa wapi ujasiri wa kulinganisha.
ngoja akimaliza tutapewa bill haitapungua $5 mln!
Hii project ya maza inatafuna pesa tuu hamnaa lolote kama promotion natgeo na BBC washatufanyia za kutosha na bado documentary zingine zipo mbioni kuachiliwa
Don't sweat this stretch has close to 10 interchanges.Mbn hamuiti 3level, Kenya wababaishaji sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MY TAKE
Mbona sioni Jomo Kenyatta akiwa revered namna hiii huko Uganda?
You mean that thief?
Azam hata kw zuku bado ndogo sana
Hehehehee kumbe huyu mzee ni mlevi?Chapombeeeee
safi sana!.., kazi bado iko., if u make second round maybe mpewe a weak team., the way nime watch big teams.., weeh!dah afadhar tumeshinda[emoji1241][emoji1241]
View attachment 1928212
Hehehehee mkuu huyu mzee Gezaulole nilishajua jinsi ya kuishi naye hanisumbui, yuko deep sn ila anapoleta habari zake za ajabu ajabu tunampiga misumari kama kawaida [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa nini kutumia lugha ya kukera hvyo kwa mtz mwenzako? Yeye ametoa opinion yake tu ambayo nayo siyo mbaya lakini namna unavyomjibu siyo kiungwana. Kwani ungetoa hiyo opinion yako bila kumtukana The best 007 kungekuwa na tatizo. SIO POA HIVYO. KAMA NI POVU TEMA KWA HAWA WAKUNYA.
Magufuli alishakufa, kuna kitu alitaka kukifanya kuhusu ATCL and believe me ingekuwa one of the best Airlines in Afrika lkn Mwenyezi Mungu ana siri nyingi sana, ukitaka kujua JPM was a real deal angalia the way serikali ya awamu ya sita jinsi inavyotembelea nyota yake, hakuna jipya la mana hata moja zaidi ya tozo za kisengesenge zisizokuwa na kichwa wala miguu.Saivi sina hata imani na huu mradi tena watuu wanapaa na ndege kwenda kutalii mbuga za wanyama eti wanadai wanataka kutangaza vivutio vya bongo
Huyu mamaenu baada ya 2022 atakuwa kituko cha mwaka, subiri uone na tuombe uzima.
Hii project ya maza inatafuna pesa tuu hamnaa lolote kama promotion natgeo na BBC washatufanyia za kutosha na bado documentary zingine zipo mbioni kuachiliwa
Naiona damu ya Mjerumani Lushoto.
safi sana!.., kazi bado iko., if u make second round maybe mpewe a weak team., the way nime watch big teams.., weeh!