Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu km lack of health food mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
There is nothing like electrifie SGR you fool. Mtafundishwa hadi lini wewe mjinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu peleka ushago[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
how?
ebu eleza..
sijaona tender ikitangazwa,au hata mkataba wa mkopo/ufadhili ukisainiwa.. labda mim sielew
Mambo yanekwenda kasi sana mkuu. Mwenyewe nashangaa ila uwezekano huo wa kuweka jiwe la msingi ndani ya mwezi huu upo mkubwa sana tu.

Tusubirie tuone, maana hata hiyo picha ya TRC wanaongelea ujenzi kuanza karibuni. Maana yake michakato ya tenda, financing na mkandarasi tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…