Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Povu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Kuna vitu vingine havimake sense kabisa. Kama hapo kwenye electricity connection. Dar peke yake ina watu 4 Mil lakini eti nchi nzima watu waliokua na umeme ni 2.7m. Mbona sielewi? ?
Bro, maneno ya mkenya ni kuyapuuzia. Ndio maana hatuhangaiki nae. Huyo dada alishatuma picha za hela akidai ni zake n then baadae ikapatikana source alipocopy, baada ya hapo akapotea now amerudi kama wanavyosema muda unaponya
 
Six lanes kuanzia mwenge mpaka tegeta tusirudie makosa tuliofanya morogoro rodi saivi ile Barbara wanataka kuipanua tena kwasababu bado tatizo la foleni liko pale pale lakini sio kama zamani
Plan ndio ilikua 6 lanes + 2 lanes za brt = 8 lanes ila kwakua hela walitoa wajapan, wakaleta makandarasi wao wakachelewesha mwisho wa siku tunaona 6 lanes ukijmuisha na brt. wametumia miaka 4 kujenga ilhali waliojenga sinza wametumia mwaka na nusu
 
Hamtuuzi chochote kisichozalishwa Tanzania na Tanzania ina supply both commodities at higher quantities industrial and freshly, in fact hata Kenya inasafirisha fresh produces more than industrial.
 
Huyu kioko ni yupi, maana kuna mse-nge moja wa huko kenya anaitwa kioko aliajiriwa Precision akaitia hasara na kufanya abiria waikimbie precision kwa kulazimisha bidhaa za kwao zitumike on board
Sijamfuatilia mkuu 😀😀
 
Povu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji3516]
unanitibuaga sijui ukoje? unaropoka ropoka tu? pigania fursa zipelekwe DSE! hata sie tusionazo tununue tunazoweza kama shares za million moja au kumi, tupate chance! Na si unaamka nakuanza kutapika ati BRT apewe Bakhresa! vp umeoa huko ama?
 
unanitibuaga sijui ukoje? unaropoka ropoka tu? pigania fursa zipelekwe DSE! hata sie tusionzo tununue tunazoweza kama shares za million moja au kumi, tupate chance! Na si unaamka nakuanza kutapika ati BRT apewe Bakhresa! vp umeoa huko ama?
Kweli kabisa mkuu hapo umenifumbua macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…