Yeah naelewa mzee 6 lanes walau itakuwa ni solution kama Kimara Kibaha ilivyo sa hzi...lakini kwa rate ya Population ya Tz inavyokuwa ...tuanze tu kujianda kuejnga Nguzo za Reli ya juu ya mass transit kama Light Rail ...ina cost kulilo BrT ila zitadaidiana na BRT sanaInafaa tujipinde aisee hvi 4lanes havitoshelezi kabisa alafu kwa kasi ya Dar inavyokua baada ya miaka mitano tuaanza upya tena kuifumua rodi
Tayari ni proposed projects kwn hujui? Mbn article ziliwekwa sn humu na kina Walker255.Yeah naelewa mzee 6 lanes walau itakuwa ni solution kama Kimara Kibaha ilivyo sa hzi...lakini kwa rate ya Population ya Tz inavyokuwa ...tuanze tu kujianda kuejnga Nguzo za Reli ya juu ya mass transit kama Light Rail ...ina cost kulilo BrT ila zitadaidiana na BRT sana
4lane road ni ujenzi wa 60s, labda sehemu ambayo haina traffic.
Jidipi na mnalala kwa maviii[emoji1]The best 007 waiting fo GDP ya Tanzania kupita ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1924230
Sehemu itayohitaji Light Rail ya kwanza ni Mbagala to City Centre
Mimi sikujua kuwa wakenya wa nairobi more than 80% wanaishi kwa slumKusema tu ukweli jf imefanya nijue Tanzania vizuri.
1.Sikujua kuwa only 37% of Tanzanians are connected to electricity until I joined JF.
2.Through jf nimejua kuwa Tanzania only have 9,000km of paved roads.
3.Through JF nimejua Tanzania is a country with only one stadium [emoji23][emoji23]
4.Through jf nimejua kuwa Dar is slum haina barabara za lami in the CBD.
5.Through JF nimegundua 90% of Tanzanian roads are unmarked.
6.Through JF nimegundua Mombasa port alone is handling more cargo than all Tanzanian ports combined.
7.Through jf nimegundua kuwa JKIA is handling twice the number of passengers being handled by Tanzanian airports.
8.Through JF nimegundua in infrastructure development Tanzania is behind Uganda.
9.Through JF nimejua kuwa Tanzania is a LDC [emoji23]
10.Through JF nimegundua tax revenue ya Kenya can finance Tanzanian full year budget na change ibaki[emoji23][emoji23]
11.Through JF nimejua kuwa Tanzania only have five military helicopters.
12.Through JF nimegundua Air Tanzania total debts are more than their assets.
13.Through JF nimegundua is the leader of witchcraft and sorcery in the world.
Tayari ni proposed projects kwn hujui? Mbn article ziliwekwa sn humu na kina Walker255.
Juu kwa juu hyo mzee zinajengwa Nguzo..funds zitapatikana tu Uchumi unakuwa na uwezo unaongezeka..tuombe uzima ..ila tegemea kuona inafanyika kuanzia 2030s hiviMbagala na temeke sasa sijui zitapita wapii Acha tungojee
Huyo ni mtz anazungumzia brt ya kenya[emoji1787][emoji1787]Ingekuwa ndiyo kwanza tunaanza ku operate BRT system sawa but cc ni wazoefu wa BRT system, so huu ushauri nenda uwape Uhuruto kabla ya pesa za tax payers hazijaendelea kuharibika mana kule wanajenga kituko cha mwaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona master plan za urban rail tayari zipo na tenda zinaanza kutoka end of this year.Mbagala na temeke sasa sijui zitapita wapii Acha tungojee
Kama haijapitia Kigamboni sijui!Mbagala na temeke sasa sijui zitapita wapii Acha tungojee
Mbagala inapita mtoni inatokezea vingunguti inaunga ya city centerMbagala na temeke sasa sijui zitapita wapii Acha tungojee
Sikuwa najua, unajua tena leo ni weekend so maji ya mende mda mwingine yanatuzingua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo ni mtz anazungumzia brt ya kenya[emoji1787][emoji1787]
Mambo ya kipuuzi kuwai tokea
Mbona master plan za urban rail tayari zipo na tenda zinaanza kutoka end of this year.
Mm ninavyo jua ni 6 line pamoja na brt au siyo hivyo ?Hio itakuwa ngumu mzee baba ndo kwanza kipande cha mwenge kimetoka kujengwa ..wangekijenga kabisa ki six lanes sawa..ila naona washahenga four lanes na wameweka Na taa na system ya sewage nzuri..unategemea vibomolewe waweke upya...
labda uniambie wabane space ya kati kati itosheleze which sidhan kama itakuwa hvyo...
Hiii itaahitaji interchange pale Mwenge na Flyover morroco ili kurahisisha kupishana..ila Six lanes sioni..hata Mbagala brt ni 4 lanes bado
Wanaamini BrT itafanya normal traffic ipungue
anyways we are on road to Mega City so by 2025 we should start thinking of Elevated Light Railway
Kama haijapitia Kigamboni sijui!