Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Still shorter than the one that docked at lamu Port. Ni Nini huelewi hapo wewe ancestor.
 
Rekodi ya magari mengi zaidi ( magari 3743) East Africa! Chukua Mombasa na Lamu ports still haigusi..

Render of Kigamboni side upon completion



https://www.facebook.com/
Still shorter. And again at the end of the year Mombasa alone will handle twice the amount of tonnes being handled by all Tanzanian ports😂😂
 
Huyo mama ni HASARA KWA TAIFA dawa ni kupiga chini wanawake wote kwenye uongozi bora tuminyane pumbuuu wanaume kwa wanaume kuliko huyu
Hawezi kumzidi baba na mama yako maana wao ni takataka kabisa za kutupwa kwenye incinilators.

Safi Sana madam President kwa kupindua upumbavu wa Mwendazake
 
Alafu jana nmecheki kuna ule mradi wa stendi mwanza umesimama kwa kukosa fedhaa, maza yupo bize na kutalii nchhi za watu
Acha ujinga wewe uache kupeleka pesa kwenye miradi ya maana na nyenye tija kwa wananchi eti upeleke kujenga stand,utakuwa na akili timamu wewe?

Tuko busy na maji ,afya,elimu na barabara sio ujinga wa stand,hata Musukuma aliwashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…