Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wako disappointed sana...walijua SSH atapiga chini miradi yote iliyoanzishwa na JPM [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walishaanza kumsifia nowadays wameacha, jamaa wana wivu sana tena wivu uliopitiliza, wivu uliochanganyika na roho mby ya kuzaliwa.
Huwa wanaona ni kama Tanzania ikisonga mbele ni kama tunashindana nao (akili zao fupi zinawaambia hivi)

Mwingine juzi kaandika bila aibu eti Tanzania imefufua ATCL ili kushindana na Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa wanaona ni kama Tanzania ikisonga mbele ni kama tunashindana nao (akili zao fupi zinawaambia hivi)

Mwingine juzi kaandika bila aibu eti Tanzania imefufua ATCL ili kushindana na Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Roho mby zinawasumbua, Wakenya wana roho mby kama sura zao, mm nikiwa vitani akikatiza simba na mkenya naanza kuuwa mkenya kwanza alafu simba tutajuana baadaye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Iyumbu inaumiza watu [emoji3516][emoji3516] tena hapo hata 5% ya mradi Mzima haijafika but ishaanza kusumbua watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo picha haina tatizo lolote ila eti anaitumia kutroll.

Nimeona pia ana tabia ya kuzoom picha ili ifubae na kupoteza muonekano ili apate kuitumia kutroll [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani unachukua picha ya mrembo halafu unaizoom sana ili ifubae na kupoteza muonekano wake ili uitumie kutroll!
 
Kama tu hawapendana wenyewe kwa wenyewe unategemea nini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Roho inamuuma anapoona jinsi render ilivyozingatiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja nimuwekee tena aone jinsi render ilivyozingatiwa, cha kushangaza hatoitumia picha hii ku troll [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Natamani sana mngeelewa kilicho nyuma ya hilo sindimba linalochezwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana sijatia neno.
Atari sana mkuu, ila ning'ate sikio ikiwezekana mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wapi kelele za katiba mpya tena!

Nadhani sasa umenielewa vizuri. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…