Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The most successful BRT system in Africa, Wakenya wote tazama hapa hizo picha hazina filter yoyote, angalia usafi, ona
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kijana wangu anakuja tanzania kwa siku 40, nimempa maagizo yakutosha😂😂😂
 
Safi sana nataka aje alafu apige picha zen zile chafu zaidi ndio upost humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehee mtu hajawahi kutoka nje ya Kenya tangu azaliwe, now anaota kuja Dar, anafikiri hakuna Wakenya wa humu waliowahi kufika Dar na wakakosa picha chafu za Dar, mmoja alikuja Dar akaishia kuweka majengo ya Dar profile picture yake FB [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Biggest tanzanian export to kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1903870
Unajisikiaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Story of the gods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…