Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania cities and townsπŸ‘‰πŸ‘‰πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’© πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ’πŸ’πŸ’
 
Pipeline estate nairobiπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€— joburg vs Nbo how about thatπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hehehehee Dodoma inawauma sn watu, huu ni mji mpya ambao unaenda kuwa capital city of East and Central Africa mtake msitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dodoma is not a city you fool.
 
I feel ashamed comparing a stupid country like tanzania to kenya, hii thread niliijua tangu inaanza lakini nilisema siwezi linganisha kenya na upuzi. Lakini after uzi wetu pendwa kule nairaland kufa ndo nikaja huku.
 
Mtaro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya hawatoenda motoni nyingine zaidi ya hii ya duniani, labda political leaders only [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawatoenda motoni hawa jamaa mm nawaambia, labda political leaders only [emoji1787][emoji1787]
 
Uchafu wote duniani huwa unatupwa Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakenya ni raia wapumbavu sn yn wanakubali kuishi maisha ya kinyama wkt mama Ngina na familia yake wanaenjoy national cake [emoji513][emoji512]
 
SGR tumewapiga

Real estate cc ndiyo tunaongoza kwa estates high quality na zenye gharama kubwa.

Umeme ndio sitaki hata kuongelea mana ni aibu, tunajenga the biggest dam ever(Berlin wall)

Maji ni aibu kulinganisha Tz na Kenya, jamaa sahivi imebidi wananchi wafungue viwanda vya mapipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

BRT hawana hakuna haja ya kuweka hapa.

Cable bridges hawana hakuna haja.

Airports huwezi linganisha zizi la ng'ombe na modern Airpot.

Stadiums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Residentials tuko juu, wao wanaishi nyumba ambazo hazina madirisha.

Ships ni upumbavu ku compare, mana cc tunajenga ships kubwa wao wana Mitumbwi.

Hali ya maisha kati ya wananchi iko dhahiri, wkt raia wa Tz wanachagua misosi jamaa wanapika mawe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa unabadilisha picha kwa Nini? Si ungerudi tu na hile yako ya kwanza kama uko na kende kweli.
Nataka useme ni natural hazards ili nikulipue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…