Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watz tulisha sema hatutaki wapumbaavu watuongoze katika nchi hii tutawapinga usiku na mchana tunataka watu wanao jenga nchi siyo wakata mauno ,ccm bila ya magufuli ni mafiii ya kuku over
Nenda hadharani mbona umejificha huku ndani,mwenzio anaenda kuolewa huko ndani

 
Ukianda upande wa juu ukitaja mkenya utaskia wanasema; UMUKENYA NUMUJURA yaani mkenya ni mwizi!
 
Wasomi hushindana na Data anachofanya Gwanyima hakuna tofauti na watu wanaoishi kwa kuamini ushirikina
Gwajima anaongea kuhusu chromosomes, RNA, DNA, Genes, antibodies, vaccine development, reactions etc wewe Huna akili ya kumuelewa sababu hakuna mshirikina anaejua hayo mambo

Halafu ni bora ubaki na id 1,ukiwa na nyingi sio kama ndio utapata attention yoyote!
 
Mnalazimisha tu vitu msivyoweza, hao waliokuja hawana akili

Em angalia spectators hakuna hata mmoja, tatizo hamjitambui kama ninyi ni mafukara mnaoforce kuishi kizungu, Nairobi raia wengi ni slum dwellers wasiojua where their next meal is located, sasa nani wa kuja kulipia upumbavu hapo?
 
Hehehe kweli hizo picha zimekukasirisha😂😂😂😂. Ilibaki tu kidogo uandike bibilia😂😂
 
Hehehe kweli hizo picha zimekukasirisha😂😂😂😂. Ilibaki tu kidogo uandike bibilia😂😂
Angalieni mnavyojidhalilisha, liuwanja lote empty kabisa 😅😅😅

Sasa nini kinaendelea hapa? 😀😀😀

 
Angalieni mnavyojidhalilisha, liuwanja lote empty kabisa 😅😅😅

Sasa nini kinaendelea hapa? 😀😀😀

View attachment 1896613
Hiyo akili yako fupi haiezijua kuwa in Kenya fans were banned from attending football or athletics, sorry for disappointing you😂😂



 
"Majirani wazembe" hivi Kuna uzembe unaozidi uzembe wa kuomba misaada ya chakula karne ya 21! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
we bongolala spectators hawakubaliwi kwenye IAAF events kutokana na janga la corona acha kuropoka..uliona mashabiki kule tokyo Olympics?
 
Eti where next meal is located!?,crappy grammar 😆🤣uliona spectators Olympics Tokyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…