Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaumiza watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbele kdg ya hii Ikulu to infinity kutakuwa kuna ma ring road, ma dual carriageways, ma estates yani Dodoma inakwenda kuwa jiji la mfano Africa few years to come watake wasitake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
In Kenya, we are free to critic government expenditure, sio hapo kwenu ni kushangilia tu hata vitu visivyo vya maana. Sasa wengine humu wameshinda wakishangilia state house mpya kujengwa wakati mna state house already.
Kwahiyo mnatupangia matumizi au sio, ndipo mlipofika hapo sasa hivi kutupangia matumizi ya pesa zetu zisizo za mkopo? Mbn nyinyi hatukuwapangia matumizi ya reli ya mkopo iliyo suswa pale suswa plus old model charcoal trains [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikulu to infinity inachoma watu juu wao wanachoo cha mkoloni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893853
Kweli Mwarabu amewashika makende. Hadi State House yenu ya kujijengea wenyewe mnacopy ile ile architecture ya Mwarabu aliyojenga state house ya Dar nayo. Sitashangaa kama ni donations za Mwarabu akawalazimisha muijenge hivo. Inakaa Mosque. 🤣 🤣 🤣
 
No wonder we double tanzania in cars, 3.9m ujichukulie zero mileage suv made in kenya😍😍View attachment 1893438

View attachment 1893437
We kilaza koma kabisa kuja na bla bla zako za idadi ya magari kati ya Kenya na Tanzania, nchi zote zina combination moja 6760000. Ikimaanisha rate ya ongezeko la magari ni sawa.

Combination ya herufi (2) na namba (4) za magari kati ya hizi nchi mbili ni 1*26 26*10 *10*10 *10. BTW nimeweka one combination herufi ya kwanza (country code) kwasababu haibadiliki.
 

We jamaa unaongea pumbaa tuu
 
Ikulu to infinity inachoma watu juu wao wanachoo cha mkoloni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1893853
unajua story ya Afghanistan ilianzaga hivohivo ikulumosque polepole,Maombi taifa Uislamu,kidogokidogo kwenye street hapo"Sheria law!Sheria law!"boom boom boom boom🔥🔥Kidogo maombolezi😂😂😂😂😂😂Alkaida
 
Koma kuropoka vitu usivyovijua [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa nacheka sana nikiyapiga haya majibwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii kitu unavuta buda ni ngori😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…