Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Any tanzanian even educated and rich is still stupid in my book
 
Sasa kama unajua shida ni kiswahili unaweka kingereza cha nini, umejiona jinsi ulivyo juha.
 
Ndani ya Nairobi unaambiwa wana shida ya maji kuliko Afghanistan, maji kwa wiki yanatoka mara mbili, no wonder unakuta banda lina mapipa kama kiwanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si mlisema mna watumizi wa internet wengi kuliko Kenya juu Diamond ako na views nyingi, sasa mbona Diamond mwenyewe naona views zake most ni za Kenya. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
swali lako jepesi na lakimaandazi linajibiwa kama ifuatavyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

chukua msanii wenu yeyote halafu compare idadi ya viewers wa Tz kwa msanii wa kenya kisha viewers wa kenya kwa wasanii wa kenya halafu chukua idadi ya viewer wa tz na kenya waliomtizama diamond
baada ya hapo kulingana na jinsi unavyopima idadi ya internet users kupitia kipimo chako cha kukaangia chapati bila shaka utapata jibu
 
Sina shida na English hata kidogo. In fact naweza kuwa mwalimu wako wa kiingereza.
 
You are against SGR to Mwanza lakini nahisi haujtafakari vizuri..Uganda ni Kubwa kuliko Burundi na Rwanda combined...Uganda imported 7.1mil tonnes via Mombassa ...and only 150k tonnes via Dar in 2020....there ia a bigger fruit low hanging in Uganda...than Rwanda and Burundi which are smaller countries ......and

after SGR to Mwanza...
another plan should be SGR to DRC ..via either Kigoma or Mpanda ..Karema port
Plus we have already stared expanding ports za Lake tanganyika na kutangaza tender za New Cargo carring ships

Cause Uganda and DRC are bigger markets than Rwanda and Burundi
 
Unapigia mbuzi gitaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siko against ila imewahishwa Sana,ingeanza ambako tayari kuna mzigo sio ambako hakuna,sgr za Rwanda/Uganda zina maana Sana coz of cargo za DRC .

Kama ishu mzigo wa Uganda sgr ingekuwa Kati ya Musoma to Tanga
 
Compare and contrast [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…