Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20210809_215417.jpg
 
Dar ilimvutia hadi akaweka maghorofa ya Dar Es Salaam kama profile picture yake ya fb [emoji23][emoji23][emoji23]
African CBD..shaghala baghla..
Uchochoroni fc[emoji1787][emoji1787]ongezeni wakenya wenzangu
images.jpeg-8.jpg
 
Noisy neighbors are nowhere to be found 😂😂

Tallest skyscrapers in Africa.

1. Iconic Tower - Egypt
2. Leonardo tower - S. Africa.
3. Calton Center - S. Africa.
4. Britam tower - Kenya.
5. BoE tower - Ethiopia.
6. GTC Office - Kenya.

South Africa - 2.
Kenya - 2.
Egypt - 1.
Ethiopia - 1
Noisy neighbors - 0

View attachment 1885136
Wewe kuna jengo linajengwa Abidjan umeliacha hapo kwa list
 
alafu kuna mchizi flani, tuko naye hapa tu nbi, mama tz na babake mkenya, kisha ni citizen wa both countries, lakini hataki hata kuhusishwa na tz. na kwamba eti yee ni mkenyareé na atambui tz 🤔🤔 yatafakari hayo
 
alafu kuna jamaa flani rafiki yangu, tuko naye hapa tu nbi, mama tz na babake mkenya, kisha ni citizen wa both countries, lakini hataki hata kuuzishwa na tz. anasema eti ya ni mkenyareé na hatambui tz 🤔🤔 yatafakari hayo
Kuuzishwa ndo nini? Au ulikua unamaanisha kuozeshwa? Maana atakua choko na sis hatupend😃
 
Unajua unaingia kwenye mada hutoweza [emoji2]
Sitaki nikuabishe maana Sisi tunaijua Nairobi wewe DSM huaga unaisikia kwa heshima wengine nimeona
Niache kupost picha[emoji2]
Niabishe mzee..ilimradi nione picha za dar cbd tu wala sitojali kitu[emoji1787][emoji1787]
Utakwepa mpka lini jamani na wakati cbd yenu ni ushuzi wa bata
images.jpeg-8.jpg
 
Back
Top Bottom