Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Green City in the Sun
picture16-png.1860691
 
Kitu pekee hakijaathiriwa na vumbi hapo ni hiyo highway mpya, na yenyewe ipe miezi kadhaa itakua rangi moja na wenzake [emoji1787][emoji1787]
Si barabara za Kenya zinawatesa Sana😂😂🤣
 
Tununue za kazi gani sisi jeshi letu siyo waoga kama kdf ,jeshi letu la miguu linao uwezo wa kuingia kwenye msitu wowote kumbuka waasi wa kibiti
Pesa za kununua helicopters ndio hamna😂
 
Kwa Takwimu hizi sgr inaenda Mwanza kufanya nini?
Kwaakili yako unafikiri Tz SGR inaenda mwanza kwaajili ya mizigo ya rwanda Congo uganda na Burundi tuu? Lake zone ina migodi mikubwa tuu ambayo yote inahitaji accesss to Dar port mizigo ya nchi jirani ni bonus tuu kwenye hii sgr. Unlike kenyan sgr which depends on Uganda cargo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiona mtu akitag mod jua kazidiwa, komora096 ongeza juhudi apigwe ban.
Jamaa nashangaa anatafuta usaidizi, sasa sijui mimi kafanywaje..
Kwn yule kwenye avatar si ni basha lake kweli sasa ywalialia nini
 
Kwaakili yako unafikiri Tz SGR inaenda mwanza kwaajili ya mizigo ya rwanda Congo uganda na Burundi tuu? Lake zone ina migodi mikubwa tuu ambayo yote inahitaji accesss to Dar port mizigo ya nchi jirani ni bonus tuu kwenye hii sgr. Unlike kenyan sgr which depends on Uganda cargo.
80% ya mizigo yetu ni ya ndani kwa taarifa yako mzee..
 
Kwaakili yako unafikiri Tz SGR inaenda mwanza kwaajili ya mizigo ya rwanda Congo uganda na Burundi tuu? Lake zone ina migodi mikubwa tuu ambayo yote inahitaji accesss to Dar port mizigo ya nchi jirani ni bonus tuu kwenye hii sgr. Unlike kenyan sgr which depends on Uganda cargo.
kuna mizigo gani huko wanakoishi maskini sana
 
Hawa majamaa wamebugi sana[emoji1787][emoji1787]
Eti unajenga sgr kote hko na kumbe hakuna mizigo ya mana ya kupeleka ni mpka wategemee watu wanao export vitu kupitia dar port ndio wabebe..

Kweli kenya babalao!!mombasa, nairobo, naivasha, kisumu kote hko kuna mizigo ya mana
 
Kwaakili yako unafikiri Tz SGR inaenda mwanza kwaajili ya mizigo ya rwanda Congo uganda na Burundi tuu? Lake zone ina migodi mikubwa tuu ambayo yote inahitaji accesss to Dar port mizigo ya nchi jirani ni bonus tuu kwenye hii sgr. Unlike kenyan sgr which depends on Uganda cargo.
Mizigo gani wewe pimbi inayo trade Kati ya Mwanza na Dar? Hii hasara alisababisha mwendazake kuzimu
 
Back
Top Bottom