Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,180
- 107,774
National Treasury wanakuambia Kenya debt servicing kufikia 35% of her budget this year! na itapanda pale G20 grace period lapses! sishangai iki-cross 50% of whole budget allocation!hapa kwa wachina hawachomoki [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji41]
safi sana wachina!
Hakuna kitu kama outside picadilly circus it's either picadilly circus or not taja sehemu kama huwezi usaidiweOutside picadilly arcade, swali linginge mrembo.
Tanzania madeni ya nje ndio mengi kuliko kenya, km unabisha sema nikuumbue saiLeo mmemrambisha dawa kilazima, eti anampa kongole uhuru kwa kukopa mpk red line, kweli akili wengine zipo kwenye makalio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We si uliikataa hii render, mbona sasa waishupalia na kutaka kulazimisha iwe ya kenya..endelea kuugua mzee, mombasa is a construction siteIla hii nchi ni ya kishetani sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1876223View attachment 1876225
Kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]Sasa nianze kushindana na wewe kwenye Airpot si nitakuwa kichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tz has more than 9000km of paved roads while kenya has only 4700km of paved roads and 7000km of improved roadsShame is a country as big as Tanzania having only 9,000km of paved roads [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpuuzi hyo[emoji1787][emoji1787]Jamaa amekasirika tayari[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. JKIA runway length is 4500m while JNIA is 3000m, I think you don't need two brains to know which is longer. Sasa nangoja tusi moja nzito kutoka kwako[emoji1787][emoji23][emoji23]
Bicycle lanes za dar vipi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kenya ni nyumba ya uchafu duniani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1876199View attachment 1876202View attachment 1876203View attachment 1876205
Jamaa hana makosa jamani, waliojenga hyo barabara ndio wamemtatiza[emoji1787][emoji1787]Bicycle lane in a african city [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji38]
View attachment 1876200
Airport ya kisasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angalia urefu wa njia ya kurukia ndege, kuna mbwa wanataka kufananisha na JKIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1876151
Hili jambo huwa linafanya nione hili bara bado tupo stone age, pesa nyingi za maendeleo zinaishia bungeni bila sababu yoyote ya msingi, kwnn wasilipe kodi wkt wanalipwa pesa nyingi? Ndio maana huwa sichagui wabunge cz sioni impact yao kwa maendeleo ya taifa, wabunge ni Chawa wanaolitafuna taifa.
Hivi unafikiria kamati kuu nec wakiita Wabunge wao wa CCM na kuwalazimisha kupitisha mswada wa kodi watakataa? Hamna political will hapo kwa vile sidhani kama Wabunge wa CCm wana nguvu kuliko chama!Hili jambo huwa linafanya nione hili bara bado tupo stone age, pesa nyingi za maendeleo zinaishia bungeni bila sababu yoyote ya msingi, kwnn wasilipe kodi wkt wanalipwa pesa nyingi? Ndio maana huwa sichagui wabunge cz sioni impact yao kwa maendeleo ya taifa, wabunge ni Chawa wanaolitafuna taifa.
Kwa majengo haya ninawapongeza wakenya wamepiga hatua
Kwahiyo walioandika hapo kwenye render huwataki au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We si uliikataa hii render, mbona sasa waishupalia na kutaka kulazimisha iwe ya kenya..endelea kuugua mzee, mombasa is a construction site
Kwahiyo runaway less than 4000m A380 haiwezi kutua? Jibu kwanza swali ndio tuendelee kufahamishana kuhusu runaway.Mpuuzi hyo[emoji1787][emoji1787]
Hajui kwanza runway length ndio kila kitu before anything else