Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya polisi kenya kunyimwa corruption 😆😆😆👇👇👇👇
Your browser is not able to display this video.
 
Mzee bado unaamini hii ni bicycle lane ama akili zisharudiView attachment 1876655
Yani mzungu wa watu mnamdangaya mtaro wa mavi ni bicyle lane [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787] aki ya nani mbinguni hamuendi.View attachment 1876656
Huwa mkifinywa kunako mnabaki kuwawekea watu maneno ambayo hawajasema na hivyo ndivyo watu wenye akili finyu hufanya.

Ichoboy01 kapost hizi picha akaandika hivi.

Ni wapi ichoboy01 amesema hizo ni bicyle lane?
 
Kijana learn to analyse pictures, ukileta picha ambayo iko na caption inamaana umekubaliana nayo. Angekua na akili angefuta hio caption ama asilete hii picha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…