Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Don't forget that JKIA has no facilities to handle the landing of big planes like A380.
You will never ever see that to happen because ur Airpot is typical old fashioned.
Msaidie mwenzako manake kw ishu ya air bridges anachakazwa kinoma
 
Kiwanja cha kizamani mno, you Kunyans badilikeni bhn, watu tunaenda mbele nyie mnarudi nyuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heri kiwanja cha zamani superior kuliko kipya white elephant..
 
Maisha ya waturkana Bongo hayapo

Maisha ya Kibera ya kunyea kwa mifuko hayapo Tanzania
mbona basi hamukemei SA ilihali wao wako na Khoisans bushmen, Alexandra, Hilbrow, Khayelitsha etc, ata mbaya zaidi shinda Kibra.. licha hio ndio nchi iliyo endelea zaidi.. 🤔
 
The reason behind why we decided to order freight plane [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye kujua maendeleo ya huu mradi aweke hapa, najua kwa ss hatua kubwa itakuwa imepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…