Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo dar gorofa nyingi unazo ziona hapo ni 10 floor wakati picha ya mombasa ni 3 to 5 floor,
Wewe jiulize ukimtupa mkenya hapo katikati hatatoka kweli[emoji1787][emoji1787] hii ndiyo sababu ya wakenya kupotea sana kila siku wakiwa dar
View attachment 1873794
 
picha ya zamani sana (over 3 years back) kabla ya electrical SGR!
Still hakuna any meaningful change hapo.., it is the over 90% ya town yenu with all the main towers ndani, zenye huwa mnaweka angles tofauti tofauti, same area tu..,
 
Small part ya ilala ni kama mitaa miwili tu πŸ˜†πŸ˜† ishaanza kukutoa uharo
Another part ilala πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1873769
Hii place imelala kweli kama jinake πŸ˜‚πŸ€£ πŸ˜‚, all I can see here are dream houses everywhere na barabara za matopeπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Onesha oysterbay Morocco kijitonyama mwenge tegeta mikocheni kwenye hiyo picha yako
All those residentials kazi zao tulimaliza, moja baada ya nyingine kaka yako fulani aliishiwa pumzi njiani, kwa sasa tuko central business areas, of which kazi yake kwisha., hakuna kingine cha ajabu Dar., ni mji wa kishamba tu.., ama kuna jipya uweke hapa sasa hivi nione?.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii place imelala kweli kama jinake πŸ˜‚πŸ€£ πŸ˜‚, all I can see here are dream houses everywhere na barabara za matopeπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
dar is slum indeed, this time round hawana pa kutokea., wakijaribu propaganda nawaumbua wazi wazi.., Tanzania iko na city moja tu., na ni hii funny looking Dar is slum.., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…