Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu ndo maana wanasema msaliti imagine ana-market bidhaa za Azam wakati simba inayodhaminiwa na METL ina bidhaa kama hizo Mo Cola! Mswahili bana, simba imuondoe fasta!

Mzee unadhani nilishasahau. Ulijifanya unajua programming nikakupatia task ukalala mbele. Leo unajifanya unajua umeme.
Unataka nikuulize maswali ulekona tena!?
Sasa wewe ndo utajua kuprove najua proggraming kama hata vitu za upuzi hujui labda wewe nikwambie unitafutie project huko kwenyu ikiivana tugawe pesa
 
Renders kwetu zimejaa
Hii inautwa Kakakuona Building ni render tallest building in East and central Africa. Huoni watanzania wakiweka. Wewe ni mshamba.
View attachment 1865746

View attachment 1865748
Thanks for posting renders za cancelled projects😂😂🤣😂, hiyo project was cancelled due to low demand. Do you even know why TPA and PSPF are still half empty 7yrs after their completion?
 
Thanks for posting renders za cancelled projects😂😂🤣😂, hiyo project was cancelled due to low demand. Do you even know why TPA and PSPF are still half empty 7yrs after their completion?
Mzee mbona unahaha sana.
Ngoma hizi zinakufanya upoteze direction
 
Magrorofa yasiyo zidi 14 dar uwezi kuesabu ni mengi sana
 
Huyu ndo maana wanasema msaliti imagine ana-market bidhaa za Azam wakati simba inayodhaminiwa na METL ina bidhaa kama hizo Mo Cola! Mswahili bana, simba imuondoe fasta!

inadepend mkuu mkataba alioingia na simba ni upi,

kama aliingia simba kwa mkataba wa kuwa msemaji wa timu pamoja na kubrand Metl product basi ana makosa ,watafuata sheria na kumshtaki ila kama aliingia simba kwa mkataba wakuwa msemaji wa timu basi hana kosa.
 
Pictures of one angle taken at different times, day and night. Beautiful indeed 🤩🤩

Difference between Nairobi and Dar is that there are so many beautiful views in Nairobi to an extent that we don't post same buildings again again venye watanzania wanafanya hapa kuhusu Dar.

Please enjoy Nairobi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…