Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu mtanzania ataniambia kuhusu barabara na electricity. I can't argue with people who only have 9,000km of paved roads and 29% electricity connectivity [emoji23][emoji23]
Akili zimekurudia sasa, mbn hupost tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu wote humu wanakuona ni mjinga usiyejua kusoma statistics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaongea kwa unyonge Sana?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Akili zimekurudia sasa, mbn hupost tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hehehe najua unatamani niache kupost hizo screenshot. Bad news for is that I won't stop posting them until next year when a new report will come outπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
uchaguzi uliopita ulikuwa lin na hii thread imeanzishwa lin
Alaaa!!umekuja kumkomboa mjinga mwnzako na wakati huu wimbo uliimbwa sana jf lkn maombi yenu yakaangukia pua..
Hizi sio zama za wale wapumbavu wa 2007, km unapinga omba uwepo mpka mwaka kesho ndio muumbuke vizuri kw mara nyingine tena[emoji1787]
 
Umekimbia au? C data umeleta mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo zilibomolewa zikaachwa hivo cause they didn't have any economic value [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1862581
Case closed, ushajitia dole nusa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umekimbia au? C data umeleta mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungekuwa mod najua ungenipiga hata banπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Hapa hatutoki hata ulieπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Case closed, ushajitia dole nusa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe hizi screenshots nasave ntakuwa nawanyamazisha nayoπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£

 
Wakuu huyu mbwa keshakubali [emoji3516][emoji3516] nimempakata hapa bado kula mzigo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ucheke ulie bado ukweli utabaki kuwa Tanzania only have 9,000km of paved roadsπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kuna wajinga wanajifanya wanajua kuliko serikali yaoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡




 
Some fools here are trying to compare their ports na the mighty Mombasa port, in 2020 Mombasa port handled more cargo than all Tanzanian ports combined πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£. All ports in tanzania did a combined 16M tonnes while Mombasa port alone did 33M tonnes.


 
Na nikisema Uganda is ahead of Tanzania in infrastructure mnaona vibaya. Now see what Uganda is building, itawachukua karne Saba kujenga something like that.
Wako vizuri wanajitahidi.miundombinu ya Dodoma ikikamilika ndio itapambana na Kampala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…