Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After counting all those things you still remain behind Uganda.

 
Wewe Ni mjinga kweli kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Decoder sio lazima itumie electricity, inaezatumia hata generator.

People connected to electricity in Tanzania ni 2.7M unless uko data ya kupinga.

Unasema nisiongelee mambo ya barabara wakati Kenya iko kilometers 21,000 za lami while Tanzania only have 9,000kmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Tanzania iko na interchanges mbili na flyover moja, hiyo huezipingana nayo.

Electricity connectivity in tanzania ni 37% compared to Kenya's 70%

Electricity access rate ni 40% in Tanzania while it's 85% in Kenya.


N/B: Tanzania can't compete with Kenya in anything.
 
Weka vitu current sio vitu vya 5 years ago. Ndio maana wakenya wengi bado wana mentality ya kizamani sana kuhusu TZ hawajui kuwa Tz has changed alot.
So 2020 ni 5 years kwako?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
We kweli mshamba mzee, kwn wote wanaotumia decorders bongo wanategemea umeme wa tanesco
 
Poor engineering! unaringia nani pedestrian bridge inaitwa msalani?




https://www.facebook.com/
Bwahaha!!engineer kasema, mbona basi haikubomoka licha ya mafuruki ila ulimomonyoka udongo wa pembeni tu

Alafu serekali yetu ya ajabu sana, yani inajenga kitu km hiki kimya.nadhani hata uzinduzi haukupeperushwa live..
Yani hapa ingelikua bongo we acha2
 
Huyo ni mshamba achana naye[emoji23][emoji23][emoji23].
Mpka ninecheka aisee, kuna wengine sio hawajui umeme kwao utafika baada ya jiwe kuwasambazia magogo barabarani huku akiwaacha bila hata ya kuwaunganishia
 
yani hapa ingekua bongo. dunia mzima hio...πŸ˜‚
hehe. kwanza ile day waliingia 2nd income economy in 2018,. hio nilijua thru ABC News ya US, na sio TBC
 



MY TAKE
Hili ni bomu linalotarajiwa kulipuka soon! pedestrian overpass/underpass vp hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…