Wanaishi kwenye denial juu ya Tz sasa wakiona tunakuja kwa speed hawataki kuamini kwamba tunawa trush....ndio mana hata viblogger vyao vinapenda kuongea shit about Tz...viliaminishwa viko bora zaidi yetu ..sasa reality inawaumiza[emoji16][emoji16][emoji1787]ila wanaangukia pua kama kawa!
Apo heshima yake itakaa sawa ...Umeona jamaa Yuko vizuri [emoji846]
Naona umekasirika kuskia sgr dume km ndio baba lao ukanda huu..Yaani unabeba watu wengi kuliko treni ya double decker na ya umeme?unaakili kweli treni superior ni ya umeme alafu ni double decker na speed 40km/h zaidi yenu
Respect your elders please..Nipanic kwanini wakati hata wewe unajua treni pekee ya umeme afrika mashariki ipo Tanzania yaani nipanic na hiyo Takataka yenu?
Naona umekasirika kuskia sgr dume km ndio baba lao ukanda huu..
Alafu ile siku utanionyesha tz mume oder MEMU mnitag please
Haya ni matumizi mabaya ya nyege sasa, we km una nyege ndio mpka utumie nguvu zote hzo jfthis shit gal kahama kutoka kusema unitag siku mtakapoorder EMU to unitag siku mtakapoorder MEMU.. she probably need [emoji533] from a Tanzanian to cool her drama
Best 007,unawatonesha donda ndugu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1858547View attachment 1858548
Unateseka ukiwa wapi[emoji16]unitag siku mtakapojenga 1 km ya SGR
unitag siku mtakapojenga 100 km ya SGR
unitag siku mtakapoorder EMU
unitag siku mtakapoorder MEMU
unitag siku mtakaponionyesha SGR inaenda bandarin
unitag siku mtakapoorder bullet trains
unitag siku mtakapoorder trains zinazotumia battery
unitag siku mtakaponionyesha nguzo za umeme wa SGR
Ndomaana nawaambia size ya SGR Kunyaland ni TAZARA![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1858547View attachment 1858548
ww ndo jinga zaidi. hebu tuoneshe chochote cha ajabu tz. nje ya darslum. hakuna! kwingine kote ni vichakani na vijiji vya ujamaa😂😂😂😂😂😂😂 yani hamulali mukiwaza dar unatuonesha nn wewe jinga
Kitu superior chetu, hakichezi kinafanya kweliNdomaana nawaambia size ya SGR Kunyaland ni TAZARA!
wacha kuiita Bongo eastern Europe! Hizo train za SGR ni standard ya Western Europe! Kama umefika Ulaya hizi train zinatumika Berlin, Paris, London hata Seoul! Acha pumba! 😡Eastern Europe.View attachment 1858558
Si unajitesa jamani, usiku wote huo wakikukaba wakati we mwnywe huna kitu maskini wa MunguElimu imetusaidia sana watanzania, hii ni mitaa ya uswazi kabisa [emoji116][emoji116]View attachment 1858559View attachment 1858560View attachment 1858561View attachment 1858562View attachment 1858563View attachment 1858564