Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Chunga usinidondoshe maudenda, next visit nitapafika inshallah 😂Emu tulia mzer baba, hao majama kw vifungasho nimewapa tiki..
Yani sio kababu, kaimati za shira yani kila kitu...hao watu wanapika Masha Allah bana, baba mama na wanawe
Ugua pole bhana! 🤣 🤣 🤣Pisi mbovu kinoma
Yani nikiamua kupost wanawake hapa nitajaza server..Hapo hakuna mgiriama, mdigo wala msonjo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1139] [emoji91][emoji91][emoji91][emoji116]
View attachment 1860227
View attachment 1860230
View attachment 1860232
View attachment 1860235
View attachment 1860239
View attachment 1860240
View attachment 1860241
View attachment 1860243
View attachment 1860244
View attachment 1860245
Hizi sasa hasira za kike mzeePisi mbovu kinoma
Hapo ni Ramadhani mpka Ramadhan, mwaka wa sita huu bado nipo nao tu..tangia 2015 unafikiria mchezo wewe mtu kila msimu ukifika anawaza kuja kuzuru maeneo yako tu kw ajili ya "vithamuthamu"Chunga usinidondoshe maudenda, next visit nitapafika inshallah [emoji23]
😂 😂 😂Hizi sasa hasira za kike mzee
Itabidi! 😂 😂 😂Hapo ni Ramadhani mpka Ramadhan, mwaka wa sita huu bado nipo nao tu..tangia 2015 unafikiria mchezo wewe mtu kila msimu ukifika anawaza kuja kuzuru maeneo yako tu kw ajili ya "vithamuthamu"
Kuna watu wanajua nakwambia we sema nikuunganishe nao upate jiko[emoji16][emoji16] utokane na michuzi upikie "thuzi"[emoji1787][emoji1787]
Wataka kweli mkuu au wazuga tuItabidi! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Station iko jangwani [emoji23][emoji23][emoji23]Wachawi wanakwambia hizi sio stasheni wao wanataka vyoo kwao hawana imani km baada ya miaka kumi pataendelea manake sio uzembe ule..
Eti wanasingizia hawataki stesheni kubwa kubwa, sasa hapa kuna stesheni kubwa wakenya wenzangu au ni macho yangu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1860275View attachment 1860277View attachment 1860278
Umekuja kivingine[emoji1787][emoji1787]Station iko jangwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo unavyojidanganya sioWadigo tz walifanya kuingia tu[emoji1787][emoji1787]
Wadigo halisia wanapatikana kenya mzee, hata maasai pia vile vile..
Lkn umenoa bado, huyu yani hatokei hko kabisa lkn bado ni wa pwani
Hapo hakuna mgiriama, mdigo wala msonjo! 🤣 🤣 🤣 🇰🇪 🔥🔥🔥👇
View attachment 1860227
View attachment 1860230
View attachment 1860232
View attachment 1860235
View attachment 1860239
View attachment 1860240
View attachment 1860241
View attachment 1860243
View attachment 1860244
View attachment 1860245
Una maneno ya kanga etiWadigo tz walifanya kuingia tu[emoji1787][emoji1787]
Wadigo halisia wanapatikana kenya mzee, hata maasai pia vile vile..
Lkn umenoa bado, huyu yani hatokei hko kabisa lkn bado ni wa pwani
Weka na treni zake tuzioneWachawi wanakwambia hizi sio stasheni wao wanataka vyoo kwao hawana imani km baada ya miaka kumi pataendelea manake sio uzembe ule..
Eti wanasingizia hawataki stesheni kubwa kubwa, sasa hapa kuna stesheni kubwa wakenya wenzangu au ni macho yangu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1860275View attachment 1860277View attachment 1860278
FYI chi za Kimagharibi hamna station hata moja ya treni ina mangazi!Wachawi wanakwambia hizi sio stasheni wao wanataka vyoo kwao hawana imani km baada ya miaka kumi pataendelea manake sio uzembe ule..