Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni upuzi wa kitoto. Kama mnataka kuona watoto warembo simply ingia Instagram utabasamu hukooo. Lakini wanaume wawili kupishana kati ya TZvsKE wapi kuna warembo zaidi ni upuzi wa kiwango cha wazimu.
 
Yard haikai katikati ya mji acha ushamba.
Ndio ikae mbali na main stations ki hvo we bwege[emoji1787]
We ukisema hzo ni zile tracks za ku seperate trains ndio zisipatane ukumbuke kuna cargo terminals vituoni..
Bado naona yard zinatafutwa kw tochi
 
Ndio ikae mbali na main stations ki hvo we bwege[emoji1787]
We ukisema hzo ni zile tracks za ku seperate trains ndio zisipatane ukumbuke kuna cargo terminals vituoni..
Bado naona yard zinatafutwa kw tochi
Yard za kujeuzia au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe post moja tu mliyoshinda
BIG 4 BEAUTY PAGEANT IN THE WORLD (WORLD, UNIVERSE, INTERNATIONAL,EARTH) KENYA 12 with 1TITLE,TZ 4 without a TITLE😄😆😂Mabishano,hoja na upuzi hazitakusaidia,FACTS and TRUTH is what matters,NO BEAUTY,NO BRAIN IN TZ, YOU'RE DISMISSED 😅🤣😢
 
Jeuza imekuwa geuza sasa, naona akili zinakurudia taratibu maamaeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hiwezi nipangia jinsi ya kuandika, we mwnywe ilikua hujui[emoji1787][emoji1787]
Nirudi juu sai nikuletee ujinga wako, we ilikua hujui kitu kuhusu neno geuka we unachokijua zaidi ni "jeuka"

Sasa nilipoanza mimi kuleta ule mfano sasa mwenzako kakimbia google haraka kufikiri km labda nimekosea ndio akaenda kukutana na vitu hko hata hakuvielewa akaamua a copy paste tu..

Alafu swali langu limekua gumu kweli,
Geuka na geuzia ni visawe[emoji1787][emoji1787]
 
Mmmmh kuanzia leo nimekupuuza, wew ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine
Upuzi ni huo wako wa kuleta tracks za kutenganisha treni hku ukisema ni marshall yard..
Halafu mbona hujaitwa, umeona sasa kiherehere kimekuponza..pole sana donda ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…