Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaha!!umeleta upupu gani huo mazee, haya tueleze hyo ndio yard ya wapi hko maporini[emoji1787][emoji1787]

Yani kitu tofauti kabisa aisee, narudia tena niletee ya dar km hii nitoke[emoji116][emoji116][emoji116] jf..

Naona umekimbia google kupata somo manamke mlikua hamjui kitu..

Enhee nijibu geuza na geuzia ni visawe[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] achana na huyo chokoraa yaani kwa akili ya kawaida tu yaani amewahi kuona wapi reli ijengwe halafu ikose sehemu ya kupishana..

kama siyo chizi huyo basi atakuwa kipofu
Na wewe pia unaunga mkono ya kwamba geuza na geuzia ni maneno na yana maana sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ