Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
Sadist
 
Hamna mda na sisi kivipi wakati mwenzako kaleta habari ya tukio nchini Kenya tena by a Kenyan news channel hadi wewe mwenyewe ukacomment kuhusu habari yenyewe? How did you know about that story and how comes you follow it on a Kenyan news channel?
MTU atakunyima chakula lakin sio habari 🙂
Matukio yote East Africa lazima information ikotokeze kupitia kwa watu au sehemu yeyote ile
 
Kuna mtu alishawahi kuandika humu kuwa mizigo mingi ya bandari ya mombasa inaishia kenya [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyo mtu yuko sahihi [emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…