Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya yetu inabeba wapi ulipoona yetu haiwezi
Nikwambie kitu jomba, hiki swali utapata jibu lake ile siku utajua model ya treni zenu.
Yani mawaziri wa tz wajua double stack alafu wasibwetuke mbele ya wanahabari
 
Nikwambie kitu jomba, hiki swali utapata jibu lake ile siku utajua model ya treni zenu.
Yani mawaziri wa tz wajua double stack alafu wasibwetuke mbele ya wanahabari
Kwamba huamini kama hizi ndo treni za Tz au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…