Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnaongea ni kama hizi picha za Dar tumeanza kuziona hapa leo for the first time.
View attachment 1855614View attachment 1855612View attachment 1855613
Eti kutoka hapo posta hadi Kariakoo kilaza anasema ni km tatu. Halafu anataka tumuamini!!
Nicxie hawa majamaa wasikuchanganye kabisa, mnazi mmoja ni km vile utoke bondeni/marikiti ukielekea posta mombasa..
Yani hakuna boundary yyte...wasikuvuruge kabisa hapo ni barabarani mzee na kuna kituo pale na hospitali pale
 
Sasa hapo kuna tofauti na hiki nilichokiandika, msimdanganye jamaa yetu bana..
Kisutu,mnazi mmoja kote ni km drive stops tu wala hakuna boundaries wala nini
Nicxie hawa majamaa wasikuchanganye kabisa, mnazi mmoja ni km vile utoke bondeni/marikiti ukielekea posta mombasa..
Yani hakuna boundary yyte...wasikuvuruge kabisa hapo ni barabarani mzee na kuna kituo pale na hospitali pale
 
Nicxie kariakoo to posta ukifuata main road haipiti kilomita mbili lkn ukikatiza mwnywe ni less than 2km wasikudanganye kabisa yani
 
Kwahiyo google inadanganya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Google haidanganyi mzee[emoji1787][emoji1787]
Kariakoo to posta by mainroad ndio niparefu kw sababu barabara haikwenda straight..
Nyie mtawadanganya wengine lkn sio mm mzee
 
Google haidanganyi mzee[emoji1787][emoji1787]
Kariakoo to posta by mainroad ndio niparefu kw sababu barabara haikwenda straight..
Nyie mtawadanganya wengine lkn sio mm mzeeView attachment 1857096View attachment 1857097
Haya weka hapa from kkoo to posta ni how many km mbn unakwepa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…