Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mnafuatilia habari za Kenya hata kuliko za kwenu, no wonder Kenya is the most searched country in Tanzania.
Hio tayari inaonyesha..kenya ni bingwa kwao..kwanini wasifuatilizie congo,south sudan..hawa watu tumewa confuse kabisa..
 
Watanzania kufuatilia habari za wakenya ni kawaida yenu hyo acha ujanja ujanja hapa
 
Watanzania watakojoa kwa suruali this time round. Kama GTC ya 6 towers pekee ndio iliwapea baridi, sijui River Estate in Ngara with 8 towers each rising 34 floors each itawafanyaje?😂😂😂


ichoboy01 and tuusan are you around? Hile story ya over 30 floors tunazika.


Progress ya hii month

 
You can't argue with facts.

 
88 Nairobi is rising very fast. Currently they are at the 6th floor, 38 more floors to go.

View attachment 1856069View attachment 1856070
sai ni 7th washaongeza floor nyingine..kuna wengine bado wanangojea serikali yao kuwajengea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…