hawa wakenya wanaojitutumia hapa jf kubishana na wtz,baadhi yao wanaishi kenya mashinani na wengine wanaishi nairobi.
kwa wale wanaoishi nairobi,asilimia kubwa wanaishi maeneo haya:
makuru kayaba
githurai
kibera
mathare
kariobangi
kangemi
kawangware
huruma
dandora
kayore
umoja
mwiki.
wakazi wa nairobi wanaoishi maeneo ya westland,lavington,karen na runda,wao hawana mda wa kushinda mtandaoni kubishana na watz kwasababu kipato chao kinawafanya wawe na uwezo wa kutembelea sehemu mbalimbali za Tz kuja kula bata.
wanaifahamu dar vizuri na maeneo yake.wanafahamu vizuri kasi ya kimaendeleo ya jiji la dar.
tatizo lipo kwa wale machokoraa wa yale maeneo niliyotaja pale juu.wao wanaifahamu dar kupitia internet tu.
hawa machokoraa hata nauli ya kutoka nairobi kwenda kula bata mombosa huwa wanakosa.