Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani we are almost doubling the medal count of our 'closest' challengers Ethiopia at 45 medals against Kenya's 86!

Zile viwanja tunaambiwa ni modern kazi yao bado tu ni kuandaa mikutano ya sisiemu ama walishaanza kuwa serious na michezo?
Hakuna sport mtanzania anajua, I told them to focus on witchcraft cause huko maybe wanaezaget kamedal.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tangu Olympic ianze mko tu na medals mbili, Sasa Nini inakudanganya ya mwaka huu mtapata hata participation certificate?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View attachment 1851025
I have done simple arithmetic and realized that if you add all the medals of all the countries outside the top five, (if you start counting from Algeria downwards), their cumulative medal count bado haifikii ya Kenya
 
Wavivu hawataki kuinvest in sports, wao wako satsified na Simba na Yanga, na Gor hua imewaoa mbaya. ๐Ÿ˜„ Sports hua wako nje mbaya, probably the last kwa EAC.
Which sport is Tanzania known for btw? At least Kenya is known for athletics, rugby and women's volleyball among others
 
Olympic hakuna cha judge, Kila siku unaambiwa huna akili lakini usikii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sasa ikiwa ww ushatoa matokeo kabla ya mechi si ni judge au ??๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tangu lini bogus kama ww ukawa na akili?? Au ww unaoneshwa yajayo??
 
Yani we are almost doubling the medal count of our 'closest' challengers Ethiopia at 45 medals against Kenya's 86!

Zile viwanja tunaambiwa ni modern kazi yao bado tu ni kuandaa mikutano ya sisiemu ama walishaanza kuwa serious na michezo?
Sisi tuna pesa na ndiyo maana michezo kama kukimbia kimbia hatuwezi ila tuna uwanja wa kisasa ku host big competition, nyie ni maskini wa kutupa licha ya wanambio wenu kufanya vizuri lkn mnashindwa kuwawekea mazingira mazuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nchi ya kifukara bhn, mfano cc mpira pia hatujui ila tuna pesa ya kuwa na timu tajiri ukanda huu kufanya kuwa Europe ya wachezaji wa East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pesa co shida Tz na ndiyo maana tulipoamua tu ndani ya miaka 10 tu ilitosha kuadabisha nchi zote ukanda huu kwa kuleta vitu modern [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Medali zote ni za mchezo wa kitumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wavivu hawataki kuinvest in sports, wao wako satsified na Simba na Yanga, na Gor hua imewaoa mbaya. ๐Ÿ˜„ Sports hua wako nje mbaya, probably the last kwa EAC.
Hio simba na yanga inatengeneza revenue kuliko team zote za kenya combined na kama unabisha sema??๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

nioneshe banda la choo ambalo gor mahia inatumia kama ofisi ukipata nitag nifunge acc ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Lakini bado tunawapiga kama burukenge. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ