Battle: Dar es Salaam vs Nairobi







MY TAKE
Maumivu kwa KQ baada ya KLM kuanza kwenda Zanzibar directly, saahii another Skyteam partner wao is also to fly to Zanzibar nyomi la over 54,000 PAX la kuwapeleka watalii Zanzibar toka Nairobi lina-exaporate in thin air!

BTW i foresee Air France landing in Dar by next year especially upon a commence of EACOP

Ni mwendo wa kunyukwa tuuu kwa KQ...
 
Dar nikama mtu ako na Nguo moja tu nzuri habadilishi kila siku this building just diffrent angles wah huruma nairobi there are several places to make nice views hata sahii I dont know the face of nairobi. Kitambo ilikuanga kicc
Inakusumbua eeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
....picha zimetumwa nyingi sana humu huu mwaka wa 5 sasa ila zikitumwa izo mdomo unakuwasha
 
Sasa tuweke makazi ya nairobian wa kawaida?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama zile picha ulipost ni nyumba za watu wa kawaida, hizi hapa ni ya watu wa class gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…