Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I asked for aerial photos, not horizontal ones. Alafu unasema picha Ni za mbali sana wakati MNF linaonekana vizuri sana picha ya mwisho?
Nilicheka sana cku uliposema hapa ni CBD [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehee haya hapa makazi ya mwananchi wa kawaida Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehee jaribu kunifuatilia ninapoenda majukwaa mengine mfano jukwaa la siasa, huwa nawagalagaza kwa facts na sijawahi kushindwa mm kubaabeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikija kwa Kenya hauna facts per'se ni cherry picked news item then unatumia out of context kulazimisha fikra zako ama muonekano wako kwa wengine.,but for objective analysis of issues, kaka uko ovyo, hapa unanitumbuiza tu na vioja vyenu 😂😂😂., have read several of your arguments, ni biased reasoning, very subjective na kulazimisha kisichokua kionekane ni kama kipo. Wewe bado sana, you are just a sycophant kama ichoboy01 😂😂😂😂, eti facts!!😂😂😂😂 Wewe bado sana in any serious debate, you are a childplay 😂😂😂
 
Hahahahahaaa mm huwa nabadilika kulingana na mtu husika, ukija kichizi nakuwa chizi zaidi yako, ukija kwa busara nakuwa na busara zote, mm niligundua Wakenya ni washenzi hivyo nikiwa na debate nao natakiwa niwe mshenzi zaidi yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Exactly Mombasa, [emoji23][emoji23][emoji23], ama umeiba za Mombasa?[emoji23][emoji23] Tanzania bado sana, ndio mna amka..,
Sasa tuweke makazi ya nairobian wa kawaida?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cku hz Wakenya wanaiogopa CBD ya Dar kinoma noma niko hapa leo mpk saa saba usiku atokeze mkunya anayejiona ana msuli au UFIPA yeyote yule[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa Dar cbd iko na nini cha kuogopwa? I am just reminding you that Dar ni cbd tu, hakuna kitu kingine nje ya hiyo cbd
 
Apige yeye ana camera? Maskini wa kutupa uyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumiliki camera ni kigezo cha utajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…