Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ondoa ubishi wa kipumbavu. Ebo!!! 😡 😡😡
 
Msaidie mwenzako anahangaika kujibu hotels zaidi ya ishirini nilizopost, anapost mpk uchafu onaaa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😲😲😲😲🥺🥺🧐🧐😳 Next.., am well entertained., nimepigwa na butwaaa!!., 😂😂😂., Tanzania!!!., NEXT...,
Hapana we have better nimekua nikifwata thread I see what you posted lemmie suprose them
 
Msaidie mwenzako anahangaika kujibu hotels zaidi ya ishirini nilizopost, anapost mpk uchafu onaaa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekua niki update myself ndo nione mlikua mumepost hoteli zipi lemmie me start now surprising you
 
Msaidie mwenzako anahangaika kujibu hotels zaidi ya ishirini nilizopost, anapost mpk uchafu onaaa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ako sawa., Maneno mengi hana, nyie lazima muambatanishe na maneno ili ionekane., ovyo kweli.., hii ya hotels facts ziko wazi, too obvious, Tz bado sana., ukitaka facts zenye comparison analysis ya EAC utapata kwa mtandao.., sasa mbona nipoteze mda.., bro., you are way below, jamaa anawachangamsha jumapili.., hadi mkatoka Dar mkaenda kutangatanga nje😂😂😂😂,
 
Sisi sio waumini wa papers, sisi ni ground km unavyoona, so weka hapa hizo hotels zenu mnazozisifia mtandaoni zen sisi tunaweka hotels zetu ambazo hatujisifu kuwa nazo zen utaamua mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Achana na hawa vilaza. I asked one of them tufanye battle ya 5-star hotels kati ya Nairobi na Dar but they are already posting gurlest houses za Arusha na Mwanza. How do you deal with such minds? Si unawaacha tu wajifurahishe?
 
what is the meaning ya kupost hii shule.. wakati hata bongo wapo?? ulidhan wapo nairobi tu?
Hiyo bongo pia ipo na hata yeye mwenyewe kaona zen kakausha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…