Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Haya nitajie hata msanii mmoja tu wa Kenya aliyekuwa nominated Mara mbili...sie huku ukiachana na domo,vannyboy kabeba kabisa...hakuna battle hapa kudadekiAfter kufanya research nakuta domo ana nomination mbili tu BET, sasa wewe hzo sio chini ya nne umezitoa wapi..
Khaligraph ni msani ambae haungi haungi km domo hata km kazidiwa, jamaa anajaribu na huenda akafanikiwa na mengi akiongeza bidii
Hapo ni kisutu, sio cbd mkunya..Hii picha uliyoleta ndio nikakuquote sio cbd? Ama si wewe ulipost hii picha? View attachment 1835015
Kenya ni mwendo wa scania tu[emoji1787][emoji1787]Katumwa aje kupooza machungu lkn waapiii [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Viewers choice nayo unaiita tuzoHaya nitajie hata msanii mmoja tu wa Kenya aliyekuwa nominated Mara mbili...sie huku ukiachana na domo,vannyboy kabeba kabisa...hakuna battle hapa kudadeki
Scania[emoji1787][emoji1787]Zipo nyingi ila Naton keshawamaliza lkn wakiendelea tutawafunza adabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama sio tuzo basi ni mavi yakoViewers choice nayo unaiita tuzo
Hiyo nayo ni stadium??!?..
Mpumbavu huyo niliamua kumpotezea, eti Akiba anapaita CBD, alafu huyu mkunya Nicxie hajui vitu vingi sana.Hapo ni kisutu, sio cbd mkunya..
Duuhhh aisee km ghetto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Scania[emoji1787][emoji1787]
Alafu ukianza kulia lia nakupiga na benz mpka utie adabu leoView attachment 1839171
Badala mkapambane nyie na museveni kwa sababu amewapora mingingo island unatuambia sisi,ukitaka kuijua tpdf vuka mpaka halafu leta utoporo hata mkiungana kunya,Uganda na Rwanda hamtuwezi hata kidogoHamuwezi vita, kubalini mlipigwa na watoto wavuta bhage, Comoro mkacharazwa huku wengine wakifa maji, na typhoid juu, Darfur kule hata usiseme! POW hutokea vitani, hata the so called first world nations, wanajeshi wao mara ngapi tumesikia wakichukuliwa mahabusu wakiwa vitani. Mangese walimkimbia hadi Amin, baada ya kupata msaada, ndio mkajipeleka. Mngefutwa kwenye ramani ya dunia nyie ka si usaidizi. Uliona wapi nchi askari magereza, traffic, askari usalama hadi wahudumu wa mortuary wanapelekwa vitani kusaidia jeshi lao hafifu? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1835333
View attachment 1835334
Mjaribuni sahi, M7, muishie kulilia chooni, panya buku nyie! Hawatumii mchina waganda wa sahi! 🤣 🤣
Hii si ndo ile stadium ambayo fans hukaa kwa zege!??..wewe uliwahi kuona wapi international stadium ambayo fans wanakalia zege???..yaani hakuna seat..is this a stadium or a ruin? Ona venye kamechapa utadhani ni iliacha kutumika 1738😂😂😂
Nyayo
View attachment 1835347View attachment 1835350View attachment 1835351View attachment 1835353
Na hilo jengo la MNF linafanya ni hapo katikati ya picha?Hapo ni kisutu, sio cbd mkunya..
Hilo jengo liko mbali sana na hapo picha ilipopigwa..kwa hiyo wewe umeona jengo lipo hapo kisutu,don't you know how to interpret photos???!. Kumbe we ni kilaza sanaNa hilo jengo la MNF linafanya ni hapo katikati ya picha?
Hata ile lesson ya photo interpretation ya geography hakusoma,jamaa ni kilaza sanaMpumbavu huyo niliamua kumpotezea, eti Akiba anapaita CBD, alafu huyu mkunya Nicxie hajui vitu vingi sana.
Industrial area ndio unaita ghettoDuuhhh aisee km ghetto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kafie kaburi kw mataga mwnzako hko, unaniletea ma feelings ya kisukuma mimi..Kama sio tuzo basi ni mavi yako